Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mtu anaweza kuwa Anahubiri uzalendo anahubiri kuwa waadilifu, lakin ukiona au ukibahatika kujua mambo yake utabaki mdomo wazi, Maafisa wa TAKUKURU wana mengi wanajua, Maafisa wa ngazi za...
16 Reactions
48 Replies
6K Views
Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa, Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha...
10 Reactions
115 Replies
11K Views
Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti...
0 Reactions
3 Replies
505 Views
Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs). Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
CHOKOCHOKO ZA KISIASA NI HATARI KWA UMOJA WA KITAIFA - SHAKA Asisitiza kuwa Rais Dk. Samia, Rais Dk. Mwinyi wanafanya kazi kubwa kuleta maendeleo waungwe mkono Na MWANDISHI WETU, Pemba Katibu...
3 Reactions
9 Replies
891 Views
Kuna mengi yanaongelewa kwa sasa na wakati uliopita. Kwa ujumla kila awamu ya uongozi, watawala hujigamba kwamba mambo yetu yanaenda vizuri, uchumi unakua, makusanyo ya Serikali yanaongezeka...
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Vyama vya siasa si ajira kwamba ni mahali pa kwenda kujipatia riziki. Vyama vya siasa vina wajibu. Wajibu wake si mdogo. Siasa ni kama mchezo wa mpira kuchukua na kuzitumia lose balls zote Ili...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukumbi wa Kimataifa Wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC)- Dar es Salaam AZIMIO LA JUMLA Kongamano limeazimia kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa hatua kubwa iliyochukuliwa kupanua uhuru wa...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Kila litamkwapo neno Gamba akilini kwa wengi umfikiria Mtu aliye au anyemiliki kadi ya Kijani kwa Kifupi mwanchama wa CCM aliye na ngazi serikalini, Ilifika muda kila likitajwa neno Gamba...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Katika mambo ambayo watanzania wananipaga raha ni kwenda na here say, Matukio ya muda huo na kuyasahau , leo hii wamemsikia Membe na Rostam wametoka kwenye mstari wa wanayoyaamini, Hata watu...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
LAANA INAWATESA AKINA MBOWE. Mzee EDWIN MTEI na BOB NYANZA MAKANI waliianzisha CHADEMA ili ije kushika dola na kuonyesha utofauti kimatendo Kati ya CHADEMA na CCM. WAZEE hawa waliweka pembeni...
2 Reactions
7 Replies
730 Views
Wadau habari za muda. Naomba tusaidiane hapa, maana kuna mtu kanifata kuniuliza kitu ambacho nimeshindwa kumjibu. Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Waziri Wa Fedha Bw. Mwigulu alichukua maoni ya...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu wa Tanzania nimesikia tetesi...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi maofisa watano wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Sitaki, sitamani na sitarajii kumuona kiongozi yeyote; (a) Anaharibu mahusiano baina ya nchi yetu na nchi nyingine. (b) Anaharibu mahusiano baina ya wanachama wa tawala na wale wa vyama vya...
1 Reactions
6 Replies
592 Views
WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewapiga marufuku wafanyakazi wote walio chini ya wizara yake kusafiri kwa ndege katika daraja la kwanza, akieleza kuwa huo ni ubadhirifu wa fedha za...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa mfano unawezaje kujua sasa serikali inafanya jambo kwa ajili ya Tanganyika na sasa inafanya kwa ajili ya Muungano?? Je, Rasirimali zilizopo Tanganyika ni mali ya Muungano ama ni mali ya...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro mh Fatma Mwassa amesema itakuwa ni aibu endapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya ukosefu wa Maji. Mh Mwassa amewataka Wananchi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom