Uzalendo wa wanasiasa wote Tanzania ni wa mashaka siri zao nje nje

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,477
2,000
Kuna mtu anaweza kuwa Anahubiri uzalendo anahubiri kuwa waadilifu, lakin ukiona au ukibahatika kujua mambo yake utabaki mdomo wazi,

Maafisa wa TAKUKURU wana mengi wanajua,

Maafisa wa ngazi za juu sana idara ya upelelezi wanajua mengi sana ila basi tu

Kuna baadhi ya mambo ya wahubiri uaminifu na uadilifu ukayajua utaanguka ulipo na usinyanyuke,

Siamini kama waziri mtembea na katiba anafanya niliyooneshwa,

Sikuamini kabisa kabisa na bado nashangaa, mbona sasa hakuna hatua muhimu zinachukuliwa dhidi yake,

Kuna mkuu wa wazalendo ndo sasa ameniacha mdomo wazi upigaji wake ni wa hatari sana, anajificha ndani ya kivuli fulani hivi na anafanikisha kweli maana Ana watetezi zaid ya million 8,

Ukitaka kujua mengi utajikuta ndani ya chumba fulani peke yako ukiwa huna kumbukumbu umefikaje utakachoona ni ngozi ya chatu aliyekuzunguka na magamba gamba yake,

Tanzania nakupenda sana
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,805

Wewe si miongoni wa hao milion 8

Bongo ni taifa la wajinga acha wapigwe tuu mpaka wakija kujielewa wako makaburini

Ninyi wote mimavi tuu / dead people
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom