Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni.
Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi...
Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki...
Salaam wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine?
Naomba wajuzi...
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha...
Mkuu wa Mkoa, Dkt. Yahaya Nawanda, amesema hajaridhishwa na kiwango cha mradi wa Bwawa la maji katika Kijiji cha Zebeya Wilaya ya Maswa, lililofanyiwa ukarabati kwa gharama ya Tsh. Milioni 754...
Kenya wamepanga kuagiza tani 900,000 za mahindi na tani 600,000 za mchele kutoka nchi kwa njia ya meli kutoka nchi za Amerika
Shehena hiyo ya mchele na mahindi ni kwa ajili ya kufidia upungufu...
Tanzania mnafeli wapi.?
Mbona wapo watu wenye sifa za kuwa marais, lakin misemo ya chini chini inaonesha watu kuwawazia hawa vijana
1.January Makamba
Sifichi sijawahi ona sifa yeyote ya...
Wakuu habari za mchana.
Serikali yetu inapambana sana kuwaletea wananchi wake maendelea. Naipongeza kwa kazi nziri.
Pamoja na hayo nna jambo ambalo limenifanya niandike uzi huu. Kuna service...
Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari...
Kwanza naomba andiko hili liaiunganishwe.
Wapendwa kwa tajiriba na pia kwa namna CCM hucheza na upepo wa hali ya nyakati natabiri siku yaja chama hicho kikongwe kwa sababu ile ile ya kujinusuru...
Ukame na njaa inayoendelea kutikisa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeno nchini umewafanya wananchi waliokataa kuhama kwa huyari kutoka Bonde la Ngorongoro kwenda kijiji cha Msomero katika Wilaya ya...
Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960.
Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii?
Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu...
Dada yangu Dorothy Gwajima, wizara ya afya Ili kushindwa na hili la ukeketaji mabinti wadogo nalo limekushinda?
Kweli viongozi wengi ndani ya Serikali ni wanawake waneshindwa kuzuia ukeketaji wa...
limekuwa gumzo kwa nini mawaziri na watu wanaojiweza wanapeleka watoto wao shule za kiingereza kwa gharama kuu wakati watoto wa masikini hawajaliwi katika shule za kata. sababu ni moja tuu ni...
Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari...
Sisi tulio makabila madogo na tulio pembezoni, tulionya sana katika miaka y karibuni juu ya kujitokeza vashiri vya Ukanda, Udini na Ukabila katika siasa za nchi.
Sasa zimeanza kujitokeza dhahiri...
Salamu nyingi wana jamvi.
Mwaka 2015 wakati Dr Slaa anaondoka chadema, sisi wenye uwezo wa kuona mbali tulionya kwamba chadema imetema big g na kuchukua karanga za kuonjeshwa(Lowasa), Kama...
Watu uwabeza wenzao sana hasa wanapokuwa hai, lakin mbaya zaid wakifa ndo wanagundua kwamba walikuwa na Umuhimu sana,
Leo hii CCM na T.O.T yake haipo katika hali ile ile ya kipindi cha Komba...
Ukweli ni kwamba, Mama anahujumiwa sana tena sana. Tukumbuke kuwa Mama anapohujumiwa, Nchi ndo inayohujumiwa. Nchi inapohujumiwa, Watanzania wote mmoja wanahujumiwa kwa kukosa huduma za kijamii...
Waziri wa habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye kongamano la habari leo, tar. 17, 12, 2022 lenye kauli mbiu isemayo, habari kwa maendeleo endelevu.
Nape amesema, rasilimali za Taifa kutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.