Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Ndugu Simon Odunga arudishwa kwao Rorya

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu wa Tanzania nimesikia tetesi kwamba;

Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga arudishwa kwao kwenda kuwa DC mpya wa Rorya na yule wa Rorya kapelekwa Chemba?

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

View attachment 1536385
 
Kama ni kweli basi Machiegni dala, ingawa kufanya kazi karibia na nyumbani kuna changamoto sana za kero za ndugu wakishajua wewe ni wa kabila moja
 
Siyo wawili ni watatu.
Wa kwanza ni police Traffic ndoa ya Kisabato.
Wa pili ni Nyarwaturi yaani anatokea Butuli Rorya ndoa ya Bomani Magomeni Kinondoni
Wa Tatu ni shankupe, Kulumbembe Latifa wa Tabata Kisukuru mwenye maisha yake na watoto wake, kiufupi ni Jimama fulani hivi.
Ndoa yake haijulikani ila inasemekana kamweka mh kinyumba.
Hili ndilo lililoingilia zile ndoa 2 za mwanzo.
Huyu hawezi kuhamishwa kwenda Rorya wanamfahamu vizuri, huyu anasubiri viboko vya mzee MAGUFULI kama atatoa adhabu ama kutimuliwa.
Huyu ni mmoja wa watoto wa vigogo wa nchi hii wanao mchafulia na kufanya aonekane mbaya mh Rais mbele ya jamii.
Huyu aliamua kuwakimbiza vitoto vidogo vilivyorushia mawe gari lake,ni mbabe hatumii busara.
Aliwakimbiza watoto wale hata walipomshinda mbio aliulizia familia zao na kwenda kwa wazazi wao kuwapiga bakora kwa makosa ya watoto.
Mh Rais ni mtu wa kusamehe sana, wengi walimkosea amewasameha iweje mteule wake awacharaze viboko?.
Any way kiutendaji sijaona chochote cha kupigiwa mfano hata atakapo ondoka kwa kufukuzwa.
Mungu ibariki TANZANIA.
Mungu mbariki Rais Wetu MAGUFULI.
 
Siyo wawili ni watatu.
Wa kwanza ni police Traffic ndoa ya Kisabato.
Wa pili ni Nyarwaturi yaani anatokea Butuli Rorya ndoa ya Bomani Magomeni Kinondoni
Wa Tatu ni shankupe, Kulumbembe Latifa wa Tabata Kisukuru mwenye maisha yake na watoto wake, kiufupi ni Jimama fulani hivi.
Ndoa yake haijulikani ila inasemekana kamweka mh kinyumba.
Hili ndilo lililoingilia zile ndoa 2 za mwanzo.
Huu umbea sasa huu mkuu sio jambo jema kwa mtoto wa kiume
 
Mh.Simon Odunga Ni mzalendo wa kutukuka....

Amesimamia mengi mazuri Wilayani Chemba....

Kila la heri kwake,Aaaamin.

Siempre Siempre Tanzania.

Kijana Muuza Al Kasus,
Jumbe Brown.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu wa Tanzania;

Kuna tetesi kwamba Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga arudishwa kwao kwenda kuwa DC mpya wa Rorya na yule wa Rorya kapelekwa Chemba.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wewe mdogo wetu mbona umekomaa hivyo mpaka unatoa cheche?
 
Siyo wawili ni watatu.
Wa kwanza ni police Traffic ndoa ya Kisabato.
Wa pili ni Nyarwaturi yaani anatokea Butuli Rorya ndoa ya Bomani Magomeni Kinondoni
Wa Tatu ni shankupe, Kulumbembe Latifa wa Tabata Kisukuru mwenye maisha yake na watoto wake, kiufupi ni Jimama fulani hivi.
Ndoa yake haijulikani ila inasemekana kamweka mh kinyumba.
Hili ndilo lililoingilia zile ndoa 2 za mwanzo.
Huyu hawezi kuhamishwa kwenda Rorya wanamfahamu vizuri, huyu anasubiri viboko vya mzee MAGUFULI kama atatoa adhabu ama kutimuliwa.
Huyu ni mmoja wa watoto wa vigogo wa nchi hii wanao mchafulia na kufanya aonekane mbaya mh Rais mbele ya jamii.
Huyu aliamua kuwakimbizi vitoto vidogo vilivyorushia mawe gari lake,ni mbabe hatumii busara.
Aliwakimbiza watoto wale hata walipomshinda mbio aliulizia familia zao na kwenda kwa wazazi wao kuwapiga bakora kwa makosa ya watoto.
Mh Rais ni mtu wa kusamehe sana, wengi walimkosea amewasameha iweje mteule wake awacharaze viboko?.
Any way kiutendaji sijaona chochote cha kupigiwa mfano hata atakapo ondoka kwa kufukuzwa.
Mungu ibariki TANZANIA.
Mungu mbariki Rais Wetu MAGUFULI.
Mmmmh
 
Back
Top Bottom