Sijaona Salaam za Vyama vya Upinzani kwa ajili ya Christmas na Mwaka Mpya, sijajua tatizo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Nyakati kama hizi tulizoea kuona salaam za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya hapa JF kutoka kwa Viongozi mashuhuri wa Kisiasa, mwaka huu nasoma salamu za CCM tu sijajua tatizo ni nini?

Hata hivyo tunamshukuru Mungu wa mbinguni Sikukuu imekuwa nzuri sana.
 
Labda watoe salam za mwaka mpya, lakini za Krismas hata wasipotoa ni sawa tu, wasije wakawaharibia wenye Imani ya ukristo sikuku yao. Mashogo na Krismas wapi na wapi?
 
Nyakati kama hizi tulizoea kuona salaam za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya hapa JF kutoka kwa Viongozi mashuhuri wa Kisiasa

Mwaka huu nasoma salamu za CCM tu sijajua tatizo ni nini!

Hata hivyo tunamshukuru Mungu wa mbinguni Sikukuu imekuwa nzuri sana
Kawaulize wahusika. Hata hivyo, salamu hizi si muhimu. Muhimu ni kuboresha maisha ya watu wetu
 
Unataka salamu kutoka upinzani upi?

Ule mliokuwa mnamuunga mkono yule dikteta uchwara aliyesema unachelewesha maendeleo na ataufutilia mbali hadi kufikia 2020?

Haya kawaachia urithi bunge la kijani nchi mmeipeleka gizani na maji hakuna mkiulizwa kwanini mnasema watu wawe na shukrani.

Upinzani uliokuwa unanyimwa haki ya kikatiba ya kusanyiko ndio leo mnaona umuhimu wake?

Lissu kamiminiwa shaba za kutosha watu walizuiwa kukusanyika kumuombea kheri michango ya diaspora ikazuiliwa
 
Nyakati kama hizi tulizoea kuona salaam za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya hapa JF kutoka kwa Viongozi mashuhuri wa Kisiasa

Mwaka huu nasoma salamu za CCM tu sijajua tatizo ni nini!

Hata hivyo tunamshukuru Mungu wa mbinguni Sikukuu imekuwa nzuri sana
Subiri za Mwaka Mpya za Lissu , Mwaka Jana alisema Mwaka huu Mwezi April atakuwa Tanzania. Sasa analia Hana nauli ya kurudi Tanzania. Mbowe (Suplimu Lida) kimyaaa kama hayupo Injini. Wamebaki kina Boni mayai na miili yao kama wacheza mieleka
 
Nyakati kama hizi tulizoea kuona salaam za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya hapa JF kutoka kwa Viongozi mashuhuri wa Kisiasa, mwaka huu nasoma salamu za CCM tu sijajua tatizo ni nini?

Hata hivyo tunamshukuru Mungu wa mbinguni Sikukuu imekuwa nzuri sana.
 
Mmawia amewakilisha
 
Kwani nyie UWT mkitoa kuna shida?
 
Back
Top Bottom