Jinsi Profesa Lipumba alivyowatosa CUF na UKAWA kumnusuru rafiki yake Ramadhani Dau asifungwe jela na Hayati Magufuli

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,981
35,642
Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM.

Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi.

Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi Dkt. Ramadhani Dau.

Akiwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF alianzisha miradi mikubwa iliyotafuna Matrilioni ya michango ya wananchi.

Leo nitaongelea mradi wa Dege Eco village wa Kigamboni ambao una thamani ya mabilioni yalivyoishia mifukoni mwa viongozi wa NSSF na wanasiasa wakubwa walioko na wasioko serikalini.

Sasa basi jina la JPM limeshapitishwa, korido za Lumumba hazikaliki vikao usiku na mchana, upepo wa Lowassa na Ukawa unawatetenesha. Timu ya kampeni ya CCM wanawaza jinsi ya kushindana ba Ukawa chini ya Edward Lowassa aliyejiunga nao baada ya jina lake kukatwa.

Chama cha CUF chini ya Prof Lipumba nacho kimeungana na timu ya ukawa, sasa timu imesheheni,huku kuna Lowassa,Lipumba na Dk Slaa,
CCM mambo sio mepesi.

Timu ya kampeni ya CCM inaazimia mambo mengi ila kubwa ni kuusambaratisha umoja wa Ukawa kabla ya kampeni, Dkt. Slaa na Prof Lipumba wanatakiwa kutoka ndani ya UKAWA kwa gharama yoyote.

Nani wa kumvaa Lipumba, nani wakumvaa Dkt. Slaa ili wajitoe Ukawa?

Taarifa zinamfikia mtoto wa mjini Ramadhani Dau kupitia kwa kigogo mmoja ndani ya CCM, Dau anawafuata Kinana na Nape na kuwaeleza kuwa ana uwezo wa kumtoa Lipumba Ukawa ila kwa masharti.

Anaomba akutanishwe na hayati JPM mgombea wa CCM kumuomba amlinde atakapoingia madarakani endapo atamtoa Lipumba UKAWA.

JPM anapewa taarifa na wanakubaliana hilo kuwa akimtoa Lipumba Ukawa atamlinda.

Siku hiyohiyo saa mbili usiku Dkt. Dau anaendesha mwenyewe VX V8 nyeusi, anawasili Mbezi Beach nyumbani kwa Prof Lipumba akiwa na uso wa wasiwasi macho mekundu, anamueleza Prof Lipumba akumbuke urafiki wao na kumtaarifu kitu kimoja.

Anamwambia kama yuko tayari kumuona akifia jela au ajitoe Ukawa. Anamtaarifu kuhusu madudu ndani ya NSSF ambayo aliyafanya kwa maelekezo toka juu lakini yatampeleka jela, anamfahamisha makubaliano yake na mgombea wa CCM.

Lipumba anampigia simu Kinana kuthibitisha habari hizo anajibiwa kuwa ni kweli, na yeye anaakikishiwa fursa nzuri baada ya uchaguzi akikubali kujitoa Ukawa.

Kesho yake tarehe 6 August 2015 Lipumba anatangaza kujiondoa Ukawa na kuacha taharuki upinzani, one man down!

Bado mtu mmoja Dkt Wilbroad Slaa nani wa kumtoa Slaa Ukawa,?
Msafara wa magari ya vigogo wa CCM unawasili Kurasini yalipo makazi ya Askofu Pengo.

Pengo anampigia simu Dk Slaa wanaongea kwa Dk kadhaa tarehe 25 Sept Dkt. Slaa anajiondoa Ukawa,

Niwakumbushe ndugu wasomaji kama mnakumbuka Dkt. Slaa aliwahi kuwa Padri wa Kanisa Katoliki, lakini alijiondoa na kuamua kuingia maisha ya ndoa,mpaka leo sielewi kiapo cha upadri huwa wanaapa vitu gani,
Mapadri wengi wakijitoa kwenye daraja la upadri iwe kwa njia yoyote ile bado watakuwa watiifu kwa kanisa.

Dkt. Slaa bado alikuwa akiwaheshimu sana viongozi wa kanisa katoliki bila shaka ndio maana baada ya kupokea simu ya kardinali Pengo hakuleta ubishi.

Mfano mwingine ni padri Privatus Karugendo, huyu alitofautiana na Askofu wake Severin Niwemugizi wa jimbo la Rulenge Ngara akajitoa upadri na kumuoa Dkt. Rose lakini usingemsikia akilisema vibaya kanisa katoliki. Alikuwa bado na mahusiano mazuri na kanisa katoliki,hata alipofariki mwaka jana,ibada ya mazishi kanisani Segerea na makaburini Kinondoni iliongozwa na mapadri watatu na walikuwa wakimuaddress kana marehemu Padri Karugendo. Once a priest,always a priest.

Haya turudi Ukawa, sasa Ukawa ukawa ukiwa, Ukawa bila Dkt Slaa,ukawa bila Prof Lipumba,Ukawa na Lowassa pekee.

October 2015
Uchaguzi mkuu unafanyika mgombea wa CCM anaibuka kidedea.

26 Aptil 2016
CAG Prof Mussa Assad rafiki mwingine wa Prof Lipumba na Dkt. Dau, anatoa ripoti bungeni.

Ripoti inaonyesha ufisadi na udanganyifu wa hali ya juu NSSF
Mradi wa Dege Eco village chini ya NSSF na kampuni ya Azimio Holding
Mradi unaonyesha kutumia ekari 20,000 lakini ripori inaonyesha ekari 3500 tu.

Ripoti ya CAG inaendelea kuonesha kuwa ekari moja ilinunuliwa kwa sh milioni 800 badala ya milion 8.
Mradi wote una thamani ya dola milioni 350 zaidi ya bilioni 780 hautekelezeki
Kumbuka huu ndio ufisadi mkubwa kuwahi kutokea nchini

Mkataba wa Richmond ulikuwa USD 172M ,EPA USD 133M ,Esrow USD 130 M. Dege Eco village USD 350 M.

Baada ya ripoti hiyo wakurugenzi sita wa NSSF walisimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Ikumbukwe wiki moja kabla ya ripoti ya CAG yaani tarehe 19 April, Rais Magufuli alizindua daraja la Kigamboni lililojengwa na NSSF na kuwasifia Dau na Mfugale

Kabla hatujakaa sawa Ramadhani Dau na Dkt Slaa wakapewa zawadi ya ubalozi kwa kazi nzuri.

Lipumba akarudishiwa chama chake cha CUF kwa kazi nzuri ya kujiondoa Ukawa.

Askofu Pengo akaakikishiwa maslahi ya Kanisa Katoliki kulindwa.

Haya yote yakifanyika Zitto Kabwe yuko nyumbani kwake Masaki akitazama Luninga akila popcorn.

Zitto akiwa mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mashirika ya Umma hakuwahi kutamja lolote kuhusu ufisadi wa muda mrefu wa NSSF.

Zitto kabla ya kuhamia Masaki ameishi sana kwenye flats zilizojengwa na Nssf zilizoko Tabata Magengeni, alimuacha mama yake humo mpaka umauti unamkuta.

JPM alikufa akiwa na Sonona kuhusu ufisadi huu maana mwaka 2018 alitamka bayana kuwa ulikuwa mradi wa ovyo na ya kwamba NSSF wajitafakari maana serikali inahamia Dodoma, hakuhitajiki huo mradi kwa Dar es Salaam.

Mwezi November 2022 mradi huu wa wa mabilioni unauzwa baada ya kuona hautekelezeki.

Mnasema Yanga wanatoa bahasha kwa waamuzi?huu mradi umetembeza bahasha kwa wahariri na waandishi wa habari na wanasiasa haijawahi kutokea.
 
Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya hayati JPM.

Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana Ccm waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha,walijua magereza yatajaa watendaji wakioboronga ba mafisadi.

Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi Dk Ranadhani Dau.

Akiwa mkurugenzi mkuu wa NSSF alianzisha miradi mikubwa iliyotafuna natrilioni ya michango ya wananchi.

Leo nitaongelea nradi wa Dege Eco village wa kigamboni ambao unathamani ya mabilioni yalivyoishia mifukoni mwa viongozi wa NSSF na wanasiasa wakubwa walioko ba wasioko serikalini.

Sasa basi jina la Jpm limeshapitishwa,korido za Lumumba hazikaliki vikao usiku na mchana,upepo wa Lowassa na Ukawa unawatetenesha.timu ya kampeni ya CCM wanawaza jinsi ya kushindana ba Ukawa chini ya Edward Lowassa aliyejiunga nao baada ya jina lake kukatwa.

Chama cha Cuf chini ya Prof Lipumba nacho kimeungana na timu ya ukawa,sasa timu imesheheni,huku kuna Lowassa,Lipumba na Dk Slaa,
Ccm mambo sio mepesi.

Timu ya kampeni ya CCM inaazimia mambo mengi ila kubwa ni kuusambaratisha umoja wa Ukawa kabla ya kampeni,Dk Slaa na Prof Lipumba wanatakiwa kutoka ndani ya ukawa kwa gharama yoyote.

Nani wa kumvaa Lipumba,nani wakumvaa Dk Slaa ili wajitoe Ukawa?

Taarifa zinamfikia mtoto wa mjini Ramadhani Dau kupitia kwa kigogo mmoja ndani ya CCM,Dau anawafuata kinana na Nape na kuwaeleza kuwa ana uwezo wa kumtoa Lipumba Ukawa ila kwa masharti.
Anaomba akutanishwe na hayati JPM mgombea wa CCM kumuomba amlinde atakapoingia madarakani endapo atamtoa Lipumba Ukawa.

Jpm anapewa taarifa na wanakubaliana hilo kuwa akimtoa Lipumba Ukawa atamlinda.

Siku hiyohiyo saa mbili usiku Dk Dau anaendesha mwenyewe VX V8 nyeusi,anawasili Mbezi Beach nyumbani kwa Prof Lipumba akiwa na uso wa wasiwasi macho mekundu,anamueleza Prof Lipumba akumbuke urafiki wao na kumtaarifu kitu kimoja.
Anamwambia kana yuko tayari kumuona akifia jela au ajitoe Ukawa.anamtaarifu kuhusu madudu ndani ya NSSF ambayo aliyafanya kwa maelekezo toka juu lakini yatamoeleka jela,anamfahamisha makubaliano yake na mgombea wa CCM.
Lipumba anamoigia simu Kinana kuthibitisha habari hizo anajibiwa kuwa ni kweli,na yeye anaakikishiwa fursa nzuri baada ya uchaguzi akikubali kujitoa Ukawa.
Kesho yake tarehe 6 August 2015 Lipumba anatangaza kujiondoa Ukawa na kuacha taharuki upinzani.one man down!

Bado mtu mmoja Dk wilbroad Slaa nani wa kumtoa Slaa Ukawa,?
Msafara wa magari ya vigogo wa Ccm unawasili Kurasini yalipo makazi ya Askofu Pengo.
Pengo anampigia simu Dk Slaa wanaongea kwa Dk kadhaa tarehe 25 Sept Dk Slaa anajiondoa Ukawa,

Niwakumbushe ndugu wasomaji kama mnakumbuka Dk Slaa aliwahi kuwa padri wa kanisa katoliki,lakini alijiondoa na kuamua kuingia naisha ya ndoa,mpaka leo sielewi kiapo cha upadri huwa wanaapa vitu gani,

Dk Slaa bado alikuwa akiwaheshimu sana viongozi wa kanisa katoliki bila shaka ndio maana baada ya kupokea simu ya Jardinali Pengo hakuleta ubishi.
Mfano mwingine ni padri Privatus Karugendo,huyu alitofautiana na Askofu wake Severin Niwemwigizi wa jimbo la Rulenge Ngara akajitoa upadri na kumuoa Dk Rose.lakini usingemsikia akilisema vibaya kanisa katoliki.alikuwa bado na mahusiano mazuri na kanisa katoliki,hata alipofariki mwaka jana,ibada ya mazishi kanisani segerea ba makaburini kinondoni iliongozwa ba mapadri watatu! Na walikuwa wakimuaddress kana marehemu padri Karugendo.
Once a priest,always a priest.

Haya turudi Ukawa,sasa Ukawa ukawa ukiwa,Ukawa bila Dk Slaa,ukawa bila Prof Lipumba,Ukawa na Lowassa pekee.

October 2015
Uchaguzi mkuu unafanyika mgombea wa CCM anaibuka kidefea.

26 Aptil 2016
CAG Prof Mussa Assad rafiki mwingine wa Prof Lipumba na Dk Dau,anatoa ripoti bungeni.

Mradi wa Dege Eco village chini ya Nssf na kampuni ya Azimio Holding

Ripoti ya CAG inaendelea kuonyedha juwa ekari moja ilinunuliwa kwa sh milioni 800 badala ya milion 8 .
Mradi wote unathamanu ya dola milioni 350 zaidi ya bilioni 780 hautekelezeki

Mjataba wa Richmond ulikuwa USD 172M ,EPA USD 133M ,Esrow USD 130 M.Dege Eco village USD 350 M.

Ikumbukwe wiki moja kabla ya ripoti ya CAG yaani tarehe 19 April,Rais Magufuli alizindua daraja la kigamboni lililojengwa na NSSF na kuwasifia Dau na Mfugale

Kabla hatujakaa sawa Ramadhani Dau na Dk Slaa wakapewa zawadi ya ubalozi kwa kazi nzuri.

Askofu Pengo akaakikishiwa maslahi ya kanisa katoliki kulindwa.

Haya yote yakifanyika Zitto Kabwe yuko nxumbani kwake Masaki akitazama Luninga akila popcorn.

Zitto akiwa mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya nashirika ya Umma hakuwahi kutamja lolote kuhusu ufisadi wa muda mrefu wa NSSF.
Zitto kabla ya kuhamia Masaki ameishi sana kwenye flats zilizojengwa na Nssf zilizoko Tabata Magengeni,alimuacha nama yake humo mpaka umauti unamkuta.

Jpm alikufa akiwa na Sonona kuhusu ufisadi huu maana mwaka 2018 alitamka bayana kuwa ulikuwa mradi wa ovyo ba ya kwamba NSSF wajitafakari maana serikali inahamia Dodoma ,hakuitajiki huo mradi kwa Dar es salaam.

Mwezi November 2022 mradi huwa wa mabilioni unauzwa baada ya kuona hautejelezeki.

Mnasema Yanga wanatoa bahasha kwa waamuzi?huu mradi umetembeza bahasha kwa wahariri na waandishi wa habari na wanasiasa haijawahi kutokea,
Acha iendelee kunyesha, tutajua panapovuja NI wapi...
 
Nakubaliana na wewe kabisa sababu niliwahi kufanya kazi kwenye miradi ya ujenzi ya nssf ya Dr dau na kushuhudia jinsi pesa zilivyokuwa zikipigwa kwenye miradi mbalimbali ya ujenzi. Kitu ambacho hukukisema au hujui, baadhi ya pesa ya ufisadi ilikuwa ikipelekwa CCM kwa ajili ya kampeni za uchaguzi nk.

Nilishangaa nilipoona Magufuli aliyekuwa akijitanabahisha kama mpiga vita ufisadi akifumbia macho ufisadi wa Dr dau. Sasa nimepata picha kamili na ndio maana wakurugenzi waliosimamishwa kazi kesi zao ziliisha kimya kimya sababu hakuna namna ambavyo wangeweza kutenganishwa na Dr dau
 
Nakubaliana na wewe kabisa sababu niliwahi kufanya kazi kwenye miradi ya ujenzi ya nssf ya Dr day na kushuhudia jinsi pesa zilivyokuwa zikipigwa kwenye miradi mbalimbali ya ujenzi. Kitu ambacho hukukisema au hujui, baadhi ya pesa ya ufisadi ilikuwa ikipelekwa CCM kwa ajili ya kampeni za uchaguzi nk.

Nilishangaa nilipoona Magufuli aliyekuwa akijitanabahisha kama mpiga vita ufisadi akifumbia macho ufisadi wa Dr dau. Sasa nimepata picha kamili na ndio maana wakurugenzi waliosimamishwa kazi kesi zao ziliisha kimya kimya sababu hakuna namna ambavyo wangeweza kutenganishwa na Dr dau
Huo ndio ukweli,Dau alitakiwa kuwa segerea lakini yuko ubalozini
 
Uongea utumbo na uozo tu kiufupi taarifa yako ni rubbish kwa sababuya

1.Dr Dau alipewa ubalozi mwezi mmoja tu baada ya hayati magufuli kuwa rais yaani mwezi December 2015 na sio 16 April 2016.kwa hoja yako wewe ni mzandiki

2.Mtoa mada unataka kusema kwamba Hayati magufuli alipokea rushwa kwa kuahidi kwamba Dr Dau aende kumshawishi Lipumba ajitoe UKAWA ili chadema na lowasa kuwapunguzia nguvu?

3.Riport zote za CIG hakuna siku ziliitumu NSSF chini ya Dr Dau kwamba imefuja pesa. Labda magazeti ya mchongo na uchwara.

4.Mradi wa kigamboni umeshindikana katika utawala wa awamu ya tano ambako Dr Dau alikuwa hayupo.

N.B Mtoa mada umejawa na chuki za kidini,kikabila,kikanda na kisiasa.
 
Wewe ndio unatulisha matango pori, lazima una agenda ya siri
Screenshot_20221226-120956_LinkedIn.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Uongea utumbo na uozo tu kiufupi taarifa yako ni rubbish kwa sababuya

1.Dr Dau alipewa ubalozi mwezi mmoja tu baada ya hayati magufuli kuwa rais yaani mwezi December 2015 na sio 16 April 2016.kwa hoja yako wewe ni mzandiki

2.Mtoa mada unataka kusema kwamba Hayati magufuli alipokea rushwa kwa kuahidi kwamba Dr Dau aende kumshawishi Lipumba ajitoe UKAWA ili chadema na lowasa kuwapunguzia nguvu?

3.Riport zote za CIG hakuna siku ziliitumu NSSF chini ya Dr Dau kwamba imefuja pesa. Labda magazeti ya mchongo na uchwara.

4.Mradi wa kigamboni umeshindikana katika utawala wa awamu ya tano ambako Dr Dau alikuwa hayupo.

N.B Mtoa mada umejawa na chuki za kidini,kikabila,kikanda na kisiasa.
Naona ume panic lakini ndio ukweli wenyewe.

Ungesoma report ya CAG kuhusu ufisadi wa NSSF chini ya Dr Dau ungekaa kimya.

Watu is anapodai katiba mpya ujinga kama huu usingefanyika.mfungwa wa maisha leo ni Balozi.
 
Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM.

Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa watendaji wakiboronga na mafisadi.

Mmoja kati ya watu waliokosa usingizi ni mtoto wa mjini ila msomi Dkt. Ramadhani Dau.

Akiwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF alianzisha miradi mikubwa iliyotafuna Matrilioni ya michango ya wananchi.

Leo nitaongelea mradi wa Dege Eco village wa Kigamboni ambao una thamani ya mabilioni yalivyoishia mifukoni mwa viongozi wa NSSF na wanasiasa wakubwa walioko na wasioko serikalini.

Sasa basi jina la JPM limeshapitishwa, korido za Lumumba hazikaliki vikao usiku na mchana, upepo wa Lowassa na Ukawa unawatetenesha. Timu ya kampeni ya CCM wanawaza jinsi ya kushindana ba Ukawa chini ya Edward Lowassa aliyejiunga nao baada ya jina lake kukatwa.

Chama cha CUF chini ya Prof Lipumba nacho kimeungana na timu ya ukawa, sasa timu imesheheni,huku kuna Lowassa,Lipumba na Dk Slaa,
CCM mambo sio mepesi.

Timu ya kampeni ya CCM inaazimia mambo mengi ila kubwa ni kuusambaratisha umoja wa Ukawa kabla ya kampeni, Dkt. Slaa na Prof Lipumba wanatakiwa kutoka ndani ya UKAWA kwa gharama yoyote.

Nani wa kumvaa Lipumba, nani wakumvaa Dkt. Slaa ili wajitoe Ukawa?

Taarifa zinamfikia mtoto wa mjini Ramadhani Dau kupitia kwa kigogo mmoja ndani ya CCM, Dau anawafuata Kinana na Nape na kuwaeleza kuwa ana uwezo wa kumtoa Lipumba Ukawa ila kwa masharti.

Anaomba akutanishwe na hayati JPM mgombea wa CCM kumuomba amlinde atakapoingia madarakani endapo atamtoa Lipumba UKAWA.

JPM anapewa taarifa na wanakubaliana hilo kuwa akimtoa Lipumba Ukawa atamlinda.

Siku hiyohiyo saa mbili usiku Dkt. Dau anaendesha mwenyewe VX V8 nyeusi, anawasili Mbezi Beach nyumbani kwa Prof Lipumba akiwa na uso wa wasiwasi macho mekundu, anamueleza Prof Lipumba akumbuke urafiki wao na kumtaarifu kitu kimoja.

Anamwambia kama yuko tayari kumuona akifia jela au ajitoe Ukawa. Anamtaarifu kuhusu madudu ndani ya NSSF ambayo aliyafanya kwa maelekezo toka juu lakini yatampeleka jela, anamfahamisha makubaliano yake na mgombea wa CCM.

Lipumba anampigia simu Kinana kuthibitisha habari hizo anajibiwa kuwa ni kweli, na yeye anaakikishiwa fursa nzuri baada ya uchaguzi akikubali kujitoa Ukawa.

Kesho yake tarehe 6 August 2015 Lipumba anatangaza kujiondoa Ukawa na kuacha taharuki upinzani, one man down!

Bado mtu mmoja Dkt Wilbroad Slaa nani wa kumtoa Slaa Ukawa,?
Msafara wa magari ya vigogo wa CCM unawasili Kurasini yalipo makazi ya Askofu Pengo.

Pengo anampigia simu Dk Slaa wanaongea kwa Dk kadhaa tarehe 25 Sept Dkt. Slaa anajiondoa Ukawa,

Niwakumbushe ndugu wasomaji kama mnakumbuka Dkt. Slaa aliwahi kuwa Padri wa Kanisa Katoliki, lakini alijiondoa na kuamua kuingia maisha ya ndoa,mpaka leo sielewi kiapo cha upadri huwa wanaapa vitu gani,
Mapadri wengi wakijitoa kwenye daraja la upadri iwe kwa njia yoyote ile bado watakuwa watiifu kwa kanisa.

Dkt. Slaa bado alikuwa akiwaheshimu sana viongozi wa kanisa katoliki bila shaka ndio maana baada ya kupokea simu ya kardinali Pengo hakuleta ubishi.

Mfano mwingine ni padri Privatus Karugendo, huyu alitofautiana na Askofu wake Severin Niwemugizi wa jimbo la Rulenge Ngara akajitoa upadri na kumuoa Dkt. Rose lakini usingemsikia akilisema vibaya kanisa katoliki. Alikuwa bado na mahusiano mazuri na kanisa katoliki,hata alipofariki mwaka jana,ibada ya mazishi kanisani Segerea na makaburini Kinondoni iliongozwa na mapadri watatu na walikuwa wakimuaddress kana marehemu Padri Karugendo. Once a priest,always a priest.

Haya turudi Ukawa, sasa Ukawa ukawa ukiwa, Ukawa bila Dkt Slaa,ukawa bila Prof Lipumba,Ukawa na Lowassa pekee.

October 2015
Uchaguzi mkuu unafanyika mgombea wa CCM anaibuka kidedea.

26 Aptil 2016
CAG Prof Mussa Assad rafiki mwingine wa Prof Lipumba na Dkt. Dau, anatoa ripoti bungeni.

Ripoti inaonyesha ufisadi na udanganyifu wa hali ya juu NSSF
Mradi wa Dege Eco village chini ya NSSF na kampuni ya Azimio Holding
Mradi unaonyesha kutumia ekari 20,000 lakini ripori inaonyesha ekari 3500 tu.

Ripoti ya CAG inaendelea kuonesha kuwa ekari moja ilinunuliwa kwa sh milioni 800 badala ya milion 8.
Mradi wote una thamani ya dola milioni 350 zaidi ya bilioni 780 hautekelezeki
Kumbuka huu ndio ufisadi mkubwa kuwahi kutokea nchini

Mkataba wa Richmond ulikuwa USD 172M ,EPA USD 133M ,Esrow USD 130 M. Dege Eco village USD 350 M.

Baada ya ripoti hiyo wakurugenzi sita wa NSSF walisimamishwa kazi kupisha uchunguzi.

Ikumbukwe wiki moja kabla ya ripoti ya CAG yaani tarehe 19 April, Rais Magufuli alizindua daraja la Kigamboni lililojengwa na NSSF na kuwasifia Dau na Mfugale

Kabla hatujakaa sawa Ramadhani Dau na Dkt Slaa wakapewa zawadi ya ubalozi kwa kazi nzuri.

Lipumba akarudishiwa chama chake cha CUF kwa kazi nzuri ya kujiondoa Ukawa.

Askofu Pengo akaakikishiwa maslahi ya Kanisa Katoliki kulindwa.

Haya yote yakifanyika Zitto Kabwe yuko nyumbani kwake Masaki akitazama Luninga akila popcorn.

Zitto akiwa mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya mashirika ya Umma hakuwahi kutamja lolote kuhusu ufisadi wa muda mrefu wa NSSF.

Zitto kabla ya kuhamia Masaki ameishi sana kwenye flats zilizojengwa na Nssf zilizoko Tabata Magengeni, alimuacha mama yake humo mpaka umauti unamkuta.

JPM alikufa akiwa na Sonona kuhusu ufisadi huu maana mwaka 2018 alitamka bayana kuwa ulikuwa mradi wa ovyo na ya kwamba NSSF wajitafakari maana serikali inahamia Dodoma, hakuhitajiki huo mradi kwa Dar es Salaam.

Mwezi November 2022 mradi huu wa wa mabilioni unauzwa baada ya kuona hautekelezeki.

Mnasema Yanga wanatoa bahasha kwa waamuzi?huu mradi umetembeza bahasha kwa wahariri na waandishi wa habari na wanasiasa haijawahi kutokea.
Loh...
 
Nitaisoma
 
Endelea kutuletea uozo wa huyo mtu, alihadaa watanzania wengi sana wenye uelewa mdogo kuwa ni mkombozi wao kumbe....
Lakini huyu "BABA" jamani....kuna dogo mmoja yuko Gerezani huko Moshi muda sasa.... amekana tuhuma zote hadi kaamua kujinyamazia, maana nyingi hadi basi......
 
Back
Top Bottom