Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpaka Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa chini uangalie mpango-kazi wa TRC:
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa chini uangalie mpango-kazi wa TRC: