Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa jamaa usipowaelewa culture yao watakusumbua sana, maana unaweza kudhani wanajidai na kuringa kumbe ndivyo walivyo! Nawakumbuka sana Sir Kahama R.I.P na Balyagati, sema Nyerere aliwazoea tu...
27 Reactions
93 Replies
8K Views
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Wanabodi, Kesho asubuhi rasimu ya Katiba Mpya ya CCM, inakabidhiwa Bungeni Dodoma kwenye BMK. Nawaombeni sana, ikifanikiwa kupata 2/3 ya kura na kupitishwa, nawaombeni sana sana tuipigie kura ya...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko...
51 Reactions
194 Replies
15K Views
Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna pesa nyingi za umma na za mikopo zimewekezwa kwenye usafiri wa mwendokasi Dar lakini ubora wa usafiri ni duni sana na unazidi kuwa duni zaidi kutokana na kutokuwepo kwa mabasi ya kutosha...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi, Huku mivutano kuhusu muundo wa muungano ukiendelea, nimefazifanyia tathmini ndogo kero za muungano kwa pande zote, nikajiridhisha pasi shaka, kuwa Jaji Warioba yuko very right!, muundo...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili. Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida. "Nimezungumza nao...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mawaziri wote ambao wizara zao zina mgogoro mkubwa wa usimamizi mbovu wamekimbilia NEC ya CCM ili Rais na wabunge washindwe kuwabana wakijua ndio mabosi zao ikifika 2025. 1. Dotto Biketo (MNEC)...
15 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu Zangu, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa...
3 Reactions
102 Replies
4K Views
Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi. Moja ya sababu kubwa kwann...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau.. Nyota ya Tanzania chini ya Rais Dk Samia Imeanza kung'aa Sana huko Duniani na Afrika. Kwa Mara ya Kwanza katika historia Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa Nchi 10 za...
12 Reactions
116 Replies
5K Views
Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Nimesikia hahari ya upungufu mkubwa wa madarasa kwa wanafunzi tarajiwa kidato cha kwanza inchi nzima. Nafasi ya shule za binafsi kuipunguzia mzigo serikali kubeba sehemu ya idadi ya wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
557 Views
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania. 1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2. ACT Wazalendo. 3. Tanzania Labor Party (TLP) 4. Civic United Front (CUF)...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…