Mungu wetu, Mungu wetu, mbona umetuacha?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
638
Reaction score
1,350
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri dakika za majeruhi kufika. Itakuwa ni aibu kubwa mno.
 
Warumi 1:24

Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
 
Kungekuwa na angalau bado hata mmoja aliyebaki na chembe ya usafi na aibu, ilitakiwa awashauri wenzie kuwa, ni vema kuyatekeleza kwa vitendo masharti yote ya Commonwealth sasa kuliko kusubiri dakika za majeruhi kufika. Itakuwa ni aibu kubwa mno.

Ungejaaliwa Akili ungeelewa Commonwealth wenyewe wamekosea kutoa tamko la aina ile Sababu ulimwenguni kote Serikali zinaimizwa kufaata utawala wa Sheria 👈

Lissu yupo Mahakamani kufatana na utawala wa Sheria👈

So wale ni wapumbavu Commonwealth kutoa tamko la aina ile ni dharau kubwa kwa utawala wa Sheria kwenye Nchi mwana chama!!

Wazo lao
Ni kutaka Serikali kuingilia muhimili mwengine ❗️kwanini watupe Ushauri wa aina hii 👈

kisheria ni dharau kwetu kama Taifa na yumkin tutawataka watuombe radhi kwa njia ya barua✍️
 
Mungu huwapa mvua walio wema na wenye ubaya
 
Ndo maana wamesema tatizo la Lissu liishe kisiasa au kisheria. Lakini hata hivyo ni mara ngapi wametoa masharti kama hayo kwetu?
Wanatoa masharti baada ya kujiridhisha kuwa kuna dalili za uonevu.
 
Back
Top Bottom