Majizo umemsikia Rais Samia?

Majizo umemsikia Rais Samia?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
640
Reaction score
1,517
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.

Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
 
Majizzo ana elimu gani?
 
Jamaa anawasiwasi sana lazima kuna makosa mahali ukiwa unafanya biashara halali unalipa kodi halalali huwezi panic kwa maneno kama yale. nchi inakopa kweli na ndo mwanzo wa maisha kuwa magumu...angemaliza tu kwa kusema tunakopa kwajili ya miradi ambayo itakuwaa na manufaa kwa vizazi vya kesho ni hivyo tatateseka kweli ila watoto wetu kesho hawatateseka shida Jizoo amekaa kama muhalifu akiona police tayari wasiwasi ndoo..
 
Hapo kuna mkanganyiko, jamaa amechanganyikiwa hajielewi asimamie upande upi; upande mmoja anataka kumfurahisha Samia asiyetaka kusifiwa hovyo, na upande mwingine anataka kumfurahisha mkwere na wale wenzie wanaotaka mama asifiwe...

Kazi anayo..
 
Ili Biashara ziende smooth Bongo ni muhimu sana kuwa upande wa serikali, otherwise biashara itakuwa na migogoro sana.
 
Usione anakoromea wafanyakazi wake, tatizo ana makando kando yake...

Akichezea tu sharubu za serikali, anaweza akaanikwa namna anavyochezea tuzi za 'vijana wa mjini'
"Tuzi" mpya hii
 
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.

Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Majizo kapokea maelekezo toka Msoga
 
Nadhani hiyo pressure ameipata kwa akina january na nape na si mwingine
 
MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.

Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Samia amkana Majizo kukosolewa
 
Hivi Mkuu inakuaje mtu kama Maulid awe employee wa Majizzo na wakati jamaa kila siku naona yupo ulaya na Marekani

Muda wa kufanya kazi huyo jamaa anaupataje na kila siku hayupo ?
 
Back
Top Bottom