Unajua kwanini Sukuma gang hawapendi mama kuridhiana na CHADEMA?

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,083
Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara.

Sababu ni hizi hapa.

1. Wafuasi wa Magufuli wanaumia Sana namna mama anavyofanya kazi kwa kuondoa baadhi ya Mambo ambavyo mtangulizi wake alifanya. Wanahisi mama atamfunika "shujaa" na kufuta legacy yake.

2. Waliopata "utawala" kwa kubaka uchaguzi wanahofu nafasi zao zao za ubunge na udiwani. Wanajua Mwendo huu wa mama huenda akaruhusu kidogo uchaguzi, kitu ambacho ukweli ulio wazi kuwa uchaguzi wa haki ufanyike Leo hata huyo chief Hangaya hatoboi.

3. Wale waliokuwa wananyanyasa wenzao kwa uongozi wa kutemi na mabavu wanona Sasa kurudi tena basi,. Na huenda mama akafungua njia yake zaidi mwaka 2025.

4. Mwisho tukubaliane kuwa sababu pia ni kikundi hiki haramu Cha Magufuli supporters., Kimefilisika akili. Hawajawahi kuwa na akili na hawatopata akili, hivyo ni watu wa kuwazoe na tunapaswa kuwachukulia Kama "wapuuzi wa taifa".
 
Kuna kiongozi ni mwenyekiti Serikali ya Mtaa... Jana kaumia sana..
Hasa baada ya kuona dalili ya Sheria na muundo wa Uchaguzi zitabadilika..

Serikali za mitaa karibu maeneo yote walipitishwa na JIWE mwenyewe bila kupingwa...
MWISHO WAO umewadia
 
Waswahili wa Pwani ambao ndio fisiemu wenyewe orijinale. Wanaogopa muunganiko wa sukuma na mchaga (wabara).
Muunganiko huu ni hatari kwao
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara...
Haya mpumbavu ya Sukuma gang ni ya kuyazoea tu kama Corona na kuishi nayo, hayajawahi kumiliki akili na yule punguwani wao hana legacy yoyote zaidi ya mauwaji na roho mbaya tu.
 
Kundi la Sukuma Gang limeendelea kuwa tishio sana. Kila linalofanyika ni kuahikikisha mambo yanaenda sawa kwa udhamini wa Sukuma Gang.

Bila hili kundi hii nchi Haina mpinzani mwingine.
Ikipendeza liheshimiwe na wapenda maendeleo wote kwa kuwatisha watawala kiasi Cha kufanya kazi usiku na mchana.

2025 ndilo kundi litakalo bembelezwa na chama chochote kitakachotaka kupata kura nyingi.

Ikija UMOJA PARTY itavuna mamilioni ya wafuasi kutoka kundi hili.
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara...
Mwisho tukubaliane kuwa sababu pia ni kikundi hiki haramu Cha Magufuli supporters., Kimefilisika akili. Hawajawahi kuwa na akili na hawatopata akili, hivyo ni watu wa kuwazoe na tunapaswa kuwachukulia Kama "wapuuzi wa taifa".
JamiiForums488662055.jpg
 
Ni ngumu sana cos itikadi za siasa za kina Sokoine zilishapita, ingekuwa zile za Sokoine wangeenda sawa na Magufuli ila kwasasa nao wamefata itikadi za pwani.
Kweli ni ngumu lkn siku wakigundua mswahili wa Pwani anawachezea. Itakuwa ndio mwisho wa fisiemu.
Wabara dhidi ya waswahili wa mwambao.
 
Watu wanafarijiana. Eafuasi ea Magufuri ndio ngome ya ushindi wa taifa hili.

Bila hawa wafuasi kumtisha Msoga na watu wazuri wasiokufa hata mikutano hiyo wasingeruhusu.

Katiba mpya itapatikana kwa nguvu ya hawa jamaa.

Tukubali tu wanaCCM wenzangu tumezidiwa kwa mbali sana na marehemu
 
Kundi la Sukuma Gang limeendelea kuwa tishio sana. Kila linalofanyika ni kuahikikisha mambo yanaenda sawa kwa udhamini wa Sukuma Gang.

Bila hili kundi hii nchi Haina mpinzani mwingine.
Ikipendeza liheshimiwe na wapenda maendeleo wote kwa kuwatisha watawala kiasi Cha kufanya kazi usiku na mchana.

2025 ndilo kundi litakalo bembelezwa na chama chochote kitakachotaka kupata kura nyingi.

Ikija UMOJA PARTY itavuna mamilioni ya wafuasi kutoka kundi hili.
Hamjui siasa nyie unadhani chama ni ukabila unatosha? uliza ACT kama kigoma tu wameweza kuiweka kapuni!!!

Wasukuma ni 23% ya wapiga kura wote ikimaanisha wanahitaji kura za makabila mengine Ili kupata 77% iliyobaki.

Siku sio nyingi nitapandisha Uzi hapa kupinga hii dhana kuwa wasukuma pekee wanaamua Rais.
 
Watu wanafarijiana. Eafuasi ea Magufuri ndio ngome ya ushindi wa taifa hili.

Bila hawa wafuasi kumtisha Msoga na watu wazuri wasiokufa hata mikutano hiyo wasingeruhusu.

Katiba mpya itapatikana kwa nguvu ya hawa jamaa.

Tukubali tu wanaCCM wenzangu tumezidiwa kwa mbali sana na marehemu
Mbona wameng'olewa kwenye ofisi zote nyeti na hakuna kitu mmefanya. Mpina kapiga kelele ila mbona kaangushwa kura za NEC both mkoa na taifa je sukuma Gang ilifanya Nini kuepusha Hilo?

Mnawakuza sana hao jamaa ila hawana lolote
 
Ni ngumu sana cos itikadi za siasa za kina Sokoine zilishapita, ingekuwa zile za Sokoine wangeenda sawa na Magufuli ila kwasasa nao wamefata itikadi za pwani.
Anzisheni chama Sasa why Bado mmeng'ang'ania huko CCM au mnadhani chama ni kiosk tu!! Yaani mpaka mfike vijiji vya Mtwara huko muweke ofisi then all the way mfike Kaboya Hadi Pangani na mrudi Hadi kalema n.k chama sio lelemama na mbeleko za ukabila inahitaji agenda, focus, kujitoa, sio hao kina Bashiru ambao hawajawahi kulala rumande.
 
Inasikitisha kuona manyumbu bado hayaamini km yameachwa solemba na mwenyekiti wao kaamua kukumbatia buyu la asali mazima.
 
Back
Top Bottom