ACT Wazalendo yashinda kesi dhidi ya CUF kuhusu mgogoro wa majengo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF.

Mahakama Kuu yaweka bayana kuwa CUF haina ushahidi wa nyaraka wa kuonesha wanayamiliki.

Capture.JPG
 

Attachments

  • 2023-tzznzhc-4.pdf
    2.5 MB · Views: 3
  • Thanks
Reactions: LGF
Back
Top Bottom