Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022 Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana...
13 Reactions
76 Replies
9K Views
Inawezekana laana za "wabaya"sasa zimeanza kufanya kazi yake ndani ya CCM hii.kama mmefikia kujiita Chawa wa Taifa! Halafu mnaamini Kwamba Sophia atakuwa bora majukwaani,katika kipindi ambacho...
22 Reactions
87 Replies
5K Views
Chama kubwa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM wameshasema nani apinge😋😋😋 Ndugu zangu chuki na makasiriko tuweke pembeni tufanye siasa za afya Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia...
8 Reactions
104 Replies
9K Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka ametoa heshima kwenye kaburi la Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa huko Lupaso. Mhe Shaka Hamdu Shaka yuko mkoani Mtwara kwa ziara...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Na WyEST Masasi, MTWARA Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu...
21 Reactions
83 Replies
5K Views
CCM walipandikiza sana watu wao ndani ya vyama vingi vya upinzani wakati wa chaguzi zao sasa ni zamu ya CCM kupandikiziwa virus ndani ya uchaguzi wao. Nategemea kuona 2024 CCM ikipoteza mitaa...
2 Reactions
7 Replies
717 Views
Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana. Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Asalaam! Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha...
1 Reactions
1 Replies
460 Views
Siku chache mara baada ya katibu wa Ccm Mkoa wa kilimanjaro Jonathan Mabiya kumnyang'anya bwa Mwita mgahawa wake na kisha kupangisha eneo la mfanyabiashara kinyamera amefanya tukio lingine ambapo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Katibu wangu mkoa wa Katavi chama Cha Demokrasia na maendeleo, CHADEMA mm DEUS JOSOPHATH KAMOJA ambaye ni katibu wa chadema wilaya ya mlele. Kwaheshima naomba kukutaarifu kuwa nimeamua kupumzika...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Watu sasa hivi wameamua kuzigeuza ofisi za umma kuwa mali yao au familia zao. Tazameni huyu meya kituko alichokifanya ndani ya ofisi za umma. Mshahar wake unatokana na kodi za wananchi wote wa...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi. Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma. 1...
1 Reactions
1 Replies
611 Views
Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma. Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa...
3 Reactions
5 Replies
748 Views
Tunataka mamlaka hii iwebora na inakuwa katika viwango vya kimataifa kuendana sawa na mamlaka zingine katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani imepewa majukumu makubwa ya kusimamia mapato ya...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndg zangu, Ningependa kumshukuru MwenyeEnzi Mungu kwa nafasi ya kuona na kujifunza Tanzania. Pia kwa mujibu wa imani zote upagani na dini mapokeo zote zinatamka laana ni mikosi na matukio mabaya...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu...
0 Reactions
6 Replies
774 Views
Kimsingi Tanzania haina Mahakama, kwa maana halisi ya Mahakama kama chombo huru kinachojitegemea kilichowekwa na umma kwaajili ya kusimamia haki. Kinachoitwa Mahakama, kwa Tanzania, ni idara tu...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo. ==== Katibu CCM asimamishwa kwa...
17 Reactions
141 Replies
25K Views
Wana Jamvi, Chadema imejiandaa vizuri kupata mrithi wa kiti cha ubunge Muleba kusini, Ni msomi mchumi ambaye anaweza kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye wilaya ya Muleba ambayo hivi karibuni...
12 Reactions
64 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…