CCM ya Dkt. Samia ngumu kutabirika

CCM ya Dkt. Samia ngumu kutabirika

Billal Saadat

Senior Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
169
Reaction score
358
Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.

Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo mwanzo ulitoka utabiri wa safu ya viongozi ambao imepanguliwa na hakuna hata jina moja limeweza kupenya.

Kwa hali na teuzi jinsi zinavyokwenda tutegemee mabadiliko makubwa ya majina na uongozi kwa Rais Samia Suluhu.

Hongera Dkt Samia Suluhu Hassan wanasema wenye hekima, Kiongozi ukiweza kulinda siri umefanikiwa kwenye uongozi wako asilimia 100.

Miaka miwili ya Dkt. Samia imejengwa kwenye kuta imara zenye kuficha siri za serikali na zile nyeti za idara, hata wale mabingwa wa ramli wanashinda kuusoma mchezo anaoucheza Dkt. Samia.
 
Siku zote wahalifu huwa mtaji wao mkubwa ni usiri wao.

Wako radhi kuuama ilinradi siri isivuje!
 
Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.

Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo mwanzo ulitoka utabiri wa safu ya viongozi ambao imepanguliwa na hakuna hata jina moja limeweza kupenya.

Kwa hali na teuzi jinsi zinavyokwenda tutegemee mabadiliko makubwa ya majina na uongozi kwa Rais Samia Suluhu.

Hongera Dkt Samia Suluhu Hassan wanasema wenye hekima, Kiongozi ukiweza kulinda siri umefanikiwa kwenye uongozi wako asilimia 100.
Unataka kuitabiri CCM ili iweje.

wananchi tuantaka usimamizi dhabiti wa Rasilimali zetu.

Unaongelea madaraka badala ya kuongelea maendeleo
 
Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.

Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo mwanzo ulitoka utabiri wa safu ya viongozi ambao imepanguliwa na hakuna hata jina moja limeweza kupenya.

Kwa hali na teuzi jinsi zinavyokwenda tutegemee mabadiliko makubwa ya majina na uongozi kwa Rais Samia Suluhu.

Hongera Dkt Samia Suluhu Hassan wanasema wenye hekima, Kiongozi ukiweza kulinda siri umefanikiwa kwenye uongozi wako asilimia 100.
Uteuzi haujawahi kuwa siri hata siku moja, labda kwenye nchi zetu.
 
Back
Top Bottom