Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mdude Chadema @mdudechadematz Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Leo kikao maalum cha NEC Kimeitishwa kuchagua wajumbe wa Kamati kuu na uteuzi wa sekretarieti: majina ya Chongolo; Shigela Bulembo yanatajwa nafasi ya ukatibu mkuu CCM.
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Kwa takribani miaka sita tangu mwaka 2015 mpaka sasa ninapoandika huu uzi, ccm tulitumia Propaganda tu kuonyesha barabara, shule na hospital lakini Wale waliotakiwa kutoa changamoto yaani upinzani...
3 Reactions
8 Replies
792 Views
Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Waandishi wa habari Mkoani Shinyanga wameomba mamlaka zinazohusika kuingilia kati vitisho vinavyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga. Malalamiko ya waandishi wa habari ni juu ya...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza...
6 Reactions
769 Replies
60K Views
Hello Tanzania! Hapa Tanzania kumekuwa na Kauli mbalimbali za ahadi na kuudhi wanazotoa viongozi kuhusu Ajira Kwa Vijana. Kwa bahati mbaya hatuna Mechanism ya evaluation ya Kauli zao Ili kujua...
2 Reactions
9 Replies
825 Views
Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu. Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii. Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena. Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini? Nchi inauzwa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais Wasaidizi wako wanakuangusha Tanganyika imegeuzwa shamba la bibi au kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa anaenda kwenye Ranchi ya Usangu. Kazi yetu kukuhabarisha, hatua stahiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA mkitaka kushinda uchaguzi mwaka 2025 nendeni na legacy ya JPM mtapata sapoti kubwa kutoka kwa wanachi na kutoka kwenye baadhi ya viongozi fulani ndani ya chama tawala na itakuwa vigumu...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimesoma comment nyingi sana zikilaumu Kanda ya Ziwa kwamba wamekuwa wasaliti na ukabila, hii naona kama ni silaha inayotumiwa na wanachama wa CHADEMA ili kuwatisha wale wenye mpango wa kumpigia...
4 Reactions
42 Replies
8K Views
Endeleeni tu Kudhani kila mahala Mwanamke anafaa na kwamba Watanzania wa mwaka 2025 ili wapige / wampigie Mtu Kura wanataka kuona Lundo la Wanawake katika kila Sekta. Bora kule Kwingine kwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Tunaposema Zanzibar Ilikuwa na maendeleo makubwa kitambo huwa tunamaanisha Bila mzee Karume rip Yanga na Simba wangekuwa wanaishi vichochoroni hadi leo ungeweza kukuta Klabu zao zimejibanza pale...
3 Reactions
12 Replies
620 Views
Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Uongozi wa juu wa Sasa wa CCM umesheheni makada toka pande tajwa hapo juu. Kanda ya Ziwa, Kati na Nyanda za Juu kusini hawaaminiwi na watu wa pwani. Waliaminiwa na mwendazake wakati huo...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa. Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Ukombozi wa nchi hii utatokea Kanda ya ziwa muda na wakati wa ukombozi wa Taifa hili ni sasa kwakutambua hilo Chama kikuu cha siasa nchini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tayari...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Lengo lolote la Chama cha Siasa ni kushika Dola,inakuwaje hiki chama kinashambulia vyama vya Upinzani tunashindwa kuona? Vyombo vya habari kwanini mnashindwa kusaidia nchi mnashindwa kukipuuza...
4 Reactions
16 Replies
804 Views
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo. Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule. Maji...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…