Yaani mnatumia njia nyingi mno kuchukua waandishi, wahadhili na watu wa kila aina wenye kujulikana ili tu msave Chama chenu cha MAMBUZI na Sasa mnafosi na Kikeke asitishe na kuvunja kabisa mkataba...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amesema taifa letu Chawa wamejaa kila kona na kuwapofusha macho viongozi wetu.
Dr Kimaro amesema Chawa wako kila mahali kuanzia kwenye vyama vya siasa hadi...
Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe...
Hello Tanzania!
Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia.
Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi...
MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE WAFIKIA ASILIMIA 80.2
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amesema kuwa utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha umeme wa...
Hivi kuna haja yakutumia katiba mpyakweli, Mbona Maguculi hakutumia katiba mpya na mambo yalienda ? Aundio kujiendekeza ?? Tunahitaji viongozi wa kujitoa na wala sio katiba. Watatupiga hela tu...
Ni suala linaloendelea kubishaniwa, kiswahili au Kiingereza kipi kitumike kuhamishia maarifa kwa vijana wa kitanzania (transfer of knowledge).
Huu ubishi kuna wakati mwamba mmoja (Mungu amrehemu)...
Je,.....
1. Hatoshei Kiushawishi?
2. Mnafiki?
3. Mpika Majungu?
4. Muongo?
5. Hana Mvuto / Mvutoless?
6. Si Mpayukaji?
7. Usoni Mama na Rohoni January?
Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo...
Yes, kuna madarasa bado ni mabovu, yes kuna watoto wanakaa chini na matatizo mengine kama hayo.
Lakini tusilitazame kwa mhemko na kushindwa kumpa Rais Samia Suluhu maua yake;
- Katika kipindi...
Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body.
Hili siyo jambo la...
Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni...
Na. Mwandishi Wetu LUMUMBA,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amewasili Ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya...
Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa...
Utawala wa Muammar Gaddafi Nchini Libya ulifanya kila kitu kuhakikisha wananchi wa nchi hiyo wanaishi maisha bora kwa kila kitu.
Kuoa walioa bure, walikula bure, walisoma bure Na walipewa...
Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums.
Tunekaa almost 2 hrs...
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu...
Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine...
Na Ezekiel Kamwaga
Msalaba wa Urais Katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, mmoja wa wanafamilia ya Rais aliye madarakani amekuwa akizushiwa tuhuma za rushwa na ufisadi.
Lakini tuhuma hizo hudumu...
Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna.
Siku moja katika...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa anayefahamika kwa jina la KAWAIDA, amefikisha malalamiko ya Vijana Wafupi mbele ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kwamba ajira za Jeshi la Polisi zinawatenga vijana...