The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hello Tanzania!

Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia.

Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila ufumbuzi ila Sasa mambo yamemalizika Kwa amani kabisa.👇

Katika kumaliza kabisa tatizo, serikali itapima maeneo mapya na kuwagawia Wananchi waliopisha maeneo ya Hifadhi.

Safi sana Mh. Rais Kwa kuonesha Uongozi 👇

===
Serikali ya Tanzania imemaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilayani Mbarali mkoani Mbeya ambao umedumu kwa takribani miaka 15.

Mgogoro huo ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo hususan wanaoishi eneo la Bonde la Usangu dhidi ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Akizungumza katika kikao na wadau waliowekeza katika Bonde la Usangu jana Januari 16, 2023 mkoani Mbeya, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema Serikali imefanya maboresho makubwa kwenye Tangazo la Serikali Namba 28, ambayo itawawezesha wananchi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji endelevu.

Amesema marekebisho ya tangazo hilo yatawezesha pia baadhi ya vitongoji vilivyokuwa vimetangazwa awali kuwa ndani ya hifadhi, kuachwa nje ya mipaka ikiwemo kutoa eneo la hekta 74,000 kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji.

“Hii GN 28, Serikali tumeamua kuitafutia ufumbuzi baada ya vikao vingi na wadau kwa faraja kabisa, nataka niwaambie tumefikia hatua nzuri itakayowezesha kila anayejishughulisha na kilimo kuendelea na kilimo chake na kila anayejishughulisha na mifugo kuendelea na ufugaji wake.”

Majaliwa amesema Serikali inataka kuhakikisha Wilaya ya Mbarali inaendesha shughuli za kilimo kitaalamu na kwa tija.

“Tumeona maendeleo makubwa na ujenzi wa viwanda vya mtu mmoja mmoja na vikundi, Serikali inataka kuona shughuli hizo zinakuwa endelevu, tunataka mpanue viwanda vyenu na mzalishe zaidi,” amesema waziri mkuu huyo.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imeamua kuitoa nje ya hifadhi Ranchi ya Usangu kwa ajili ya shughuli za ufugaji wa kisasa.

“GN namba 28 iliingiza ranchi ndani ya hifadhi, lakini ili wafugaji wawe huru, tumeindoa na hivyo itakuwa nje, tumeacha na mito kadhaa ambayo itahifadhiwa kwa sheria za mazingira,” amesema Majaliwa.

Pia, Majaliwa amewataka wafugaji kujiamini kwa sababu mifugo ni uchumi. “Tunataka tuondokane na uchungaji na kuwafanya Watanzania wafugaji kuacha kutembea umbali mrefu na ng'ombe, hii inaondoa thamani ya nyama, tunataka mfuge kisasa.”

Awali, akizungumza katika mkutano huo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula amesema maeneo ambayo yameondolewa katika hifadhi, serikali itahakikisha mpango bora wa matumizi ya ardhi unawekwa ili wananchi waweze kufanya kile ambacho kimepangwa kufanyika kwa wakati huo.

Waziri Mabula amesema watahakikisha wananchi hao wanapata hati miliki za maeneo yao ili waweze kuzitumia katika shughuli mbalimbali za maendeleo na mpango wa uandaaji utafanyika kwenye vijiji vyote vinavyohusika.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dk Selemani Jafo amesema kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji watumiaji wote wanapaswa kuheshimu sheria ya mazingira.

Kwa upande wake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amewataka watumiaji wa eneo lililotolewa kwa ajili ya shughuli za ufugaji na kilimo waendelee kulilinda eneo lililobaki. “Tusifuge wala kulima katika eneo lililobaki eneo hili ni chanzo kikubwa cha maji na sehemu ya utalii,” amesema Dk Chana.

Naye, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema ranchi ya Usangu ni kwa ajili ya shughuli za ufugaji tu na isitokee yeyote akafanya tofauti na lengo.

“Tulioko kwenye ranchi tufuge, wengine mnabadilisha matumizi wengine hamfugi lakini mnakodisha watu wanakuja kulima kwenye vitalu, wale mnaolima badala ya kufuga tutawanyang’anya vitalu,” amesema Waziri Ndaki.
 
Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/serikali-yamaliza-mgogoro-wa-ardhi-bonde-la-usangu.2057258/

Chanzo: Mwananchi
 
Wabainishe maeneo yanayobaki Ili tufanye marekebisho. Kimsingi hazikua familia 12 Kama zilivyoripotiwa Bali ni kundi kubwa la wakulima nikiwemo na Mimi tuliondolewa. Naona watu wanasema familia 12 lakini ni watu wengi hao 12 ni wanaofahamika kuwa wanamaeneo makubwa
 
View attachment 2484396

Hili ni jambo la kusifia kweli jaman?

CCM miaka 15 mlishindwa kumaliza jambo dogo kama hili?

mnavyosifia its like kuna serikali nyingine ya chama kingine ndio ilishindwa kutatua huo mgogoro

haya mambo mengine mnayosifia ni aibu kwa chama
 
Watabainisha kwani hujasoma hayo maelezo hapo kwamba serikali imepunguza hekta 74,000?
 
Hili ni jambo la kusifia kweli jaman?

CCM miaka 15 mlishindwa kumaliza jambo dogo kama hili?

mnavyosifia its like kuna serikali nyingine ya chama kingine ndio ilishindwa kutatua huo mgogoro

haya mambo mengine mnayosifia ni aibu kwa chama
Ni dogo eti? Samia ndio alikuwa Rais Miaka 15 iliyopita Hadi Mto Ruaha unakauka?

Mfupa mgumu mpe Samia,toa credit panapohitajika sio mtima nyongo Kila kitu.
 
Mods wa jf Wana wivu sana,seems Huwa wanachukia likitajwa jina la Samia..

Heading yangu ilikuwa ni hii hapa ila naona wameweka heading Yao 👇
 
Hello Tanzania!

Hayawi hayawi yamekua, kama kawaida mfupa mgumu mpe Rais Samia.

Hatimaye Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa n Dk. Samia imemaliza Mgogoro wa matumizi ya Ardhi baina ya Wananchi waliokuwa wanalima Bonde la Usangu na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Mgogoro huu umedumu miaka 15 bila ufumbuzi ila Sasa mambo yamemalizika Kwa amani kabisa.👇

Katika kumaliza kabisa tatizo, serikali itapima maeneo mapya na kuwagawia Wananchi waliopisha maeneo ya Hifadhi.

Safi sana Mh. Rais Kwa kuonesha Uongozi 👇

===
Serikali ya Tanzania imemaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilayani Mbarali mkoani Mbeya ambao umedumu kwa takribani miaka 15.

Mgogoro huo ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo hususan wanaoishi eneo la Bonde la Usangu dhidi ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Akizungumza katika kikao na wadau waliowekeza katika Bonde la Usangu jana Januari 16, 2023 mkoani Mbeya, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema Serikali imefanya maboresho makubwa kwenye Tangazo la Serikali Namba 28, ambayo itawawezesha wananchi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji endelevu.

Amesema marekebisho ya tangazo hilo yatawezesha pia baadhi ya vitongoji vilivyokuwa vimetangazwa awali kuwa ndani ya hifadhi, kuachwa nje ya mipaka ikiwemo kutoa eneo la hekta 74,000 kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji.

“Hii GN 28, Serikali tumeamua kuitafutia ufumbuzi baada ya vikao vingi na wadau kwa faraja kabisa, nataka niwaambie tumefikia hatua nzuri itakayowezesha kila anayejishughulisha na kilimo kuendelea na kilimo chake na kila anayejishughulisha na mifugo kuendelea na ufugaji wake.”

Majaliwa amesema Serikali inataka kuhakikisha Wilaya ya Mbarali inaendesha shughuli za kilimo kitaalamu na kwa tija.

“Tumeona maendeleo makubwa na ujenzi wa viwanda vya mtu mmoja mmoja na vikundi, Serikali inataka kuona shughuli hizo zinakuwa endelevu, tunataka mpanue viwanda vyenu na mzalishe zaidi,” amesema waziri mkuu huyo.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu Majaliwa amesema Serikali imeamua kuitoa nje ya hifadhi Ranchi ya Usangu kwa ajili ya shughuli za ufugaji wa kisasa.

“GN namba 28 iliingiza ranchi ndani ya hifadhi, lakini ili wafugaji wawe huru, tumeindoa na hivyo itakuwa nje, tumeacha na mito kadhaa ambayo itahifadhiwa kwa sheria za mazingira,” amesema Majaliwa.

Pia, Majaliwa amewataka wafugaji kujiamini kwa sababu mifugo ni uchumi. “Tunataka tuondokane na uchungaji na kuwafanya Watanzania wafugaji kuacha kutembea umbali mrefu na ng'ombe, hii inaondoa thamani ya nyama, tunataka mfuge kisasa.”

Awali, akizungumza katika mkutano huo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angelina Mabula amesema maeneo ambayo yameondolewa katika hifadhi, serikali itahakikisha mpango bora wa matumizi ya ardhi unawekwa ili wananchi waweze kufanya kile ambacho kimepangwa kufanyika kwa wakati huo.

Waziri Mabula amesema watahakikisha wananchi hao wanapata hati miliki za maeneo yao ili waweze kuzitumia katika shughuli mbalimbali za maendeleo na mpango wa uandaaji utafanyika kwenye vijiji vyote vinavyohusika.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dk Selemani Jafo amesema kwenye maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo na ufugaji watumiaji wote wanapaswa kuheshimu sheria ya mazingira.

Kwa upande wake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana amewataka watumiaji wa eneo lililotolewa kwa ajili ya shughuli za ufugaji na kilimo waendelee kulilinda eneo lililobaki. “Tusifuge wala kulima katika eneo lililobaki eneo hili ni chanzo kikubwa cha maji na sehemu ya utalii,” amesema Dk Chana.

Naye, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema ranchi ya Usangu ni kwa ajili ya shughuli za ufugaji tu na isitokee yeyote akafanya tofauti na lengo.

“Tulioko kwenye ranchi tufuge, wengine mnabadilisha matumizi wengine hamfugi lakini mnakodisha watu wanakuja kulima kwenye vitalu, wale mnaolima badala ya kufuga tutawanyang’anya vitalu,” amesema Waziri Ndaki.
View attachment 2484396
Waziri Mkuu anatembea na mawaziri wangapi?
 
..familia za vigogo 12 zimeshinda.

..gn namba 28 ambayo waandishi wana mazingira waliiasa serikali kuizingatia imetupiliwa mbali.

..maagizo ya VP Dr.Mipango yametupiliwa mbali.
Ndo hivyo ajiuzuru akiona kaonewa.

Maana hadi mito imeachwa kwa watu wakate maji.

Hakuna wakati hifadhi zimemegwa kama tokea 2015 hadi leo
 
Back
Top Bottom