Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu...
2 Reactions
1 Replies
570 Views
Tuache mihemko na ulimbukeni sisi sio Fata upepo kama hao wa kijani, inabidi atuambie kwanini alizuia mikutano ya hadhara nayeye kakiri Kwa kinywa chake kuwa ilikuwa ni uvunjifu wa katiba kuzuia...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na...
27 Reactions
83 Replies
7K Views
Tambua kupanda kwa bei za bidhaa hakujaletwa na ccm au Chadema, Usiwalazimishe wanasiasa watamke mambo ambayo yapo nje ya nguvu za soko. Nguvu ya soko ndio inaamua thamani ya pesa na bei za...
0 Reactions
2 Replies
340 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimejiuliza sana hili swali bila majibu. Ukiangalia yanayoendelea hivi sasa ndani ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi unaweza ukafikiri ni maigizo. Watu wazima na akili zao kujiita "Chawa wa...
6 Reactions
217 Replies
10K Views
Kwa kipindi kirefu sana ndani ya CCM ili mtu awe mwanasiasa bora ni lazima awe na madaraka. CCM nje ya Madaraka huwezi kuwa bora. Kwa maana nyingine ubora wa wanasiasa wa CCM unatokana na madaraka...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu nyote. Wiki ya pili sasa ninawaza na kuwazua kuhhsu jeshi letu tukuka la usalama wa raia na mali zao yaani jeshi la Polisi. Ifike mahala kama kuna watu katika jamii ambao...
5 Reactions
6 Replies
547 Views
Mbowe ameweza kupambana na watu wengi wa mfumo chinichini Bila kuonyesha adharani mashinikizo yake. Waliobomoa Mashamba yake huko Hai wote wameondolewa kwenye mfumo, viongozi waandaminizi...
1 Reactions
3 Replies
833 Views
Breaking News!!! Mhe.Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki Kupitia Chama Cha CUF, Mhe.Mashaka Ngole amekabidhi bettri ya gari aina ya N 70 kwa jumuiya ya wazee waliyoiomba kwa ajili ya matumizi ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sio ubaguzi, wala sio kujisifia Nchi yetu inahitaji Rais kutoka Kanda ya Ziwa. Nafikiria mtu kutoka Zanzibari sijaona, mtu kutoka kwa Wala migebuka sijaona maana sioni Kwa Makamu wa Sasa...
28 Reactions
105 Replies
6K Views
Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Vijana wengi wa chadema wenye maono na fikra za kugombea Ubunge, udiwani na Urais walikuwa njia panda kujisogeza majimboni kwao kuanza rasmi harakati za kuwatoa wabunge waliopo. Nimeona Moto...
0 Reactions
4 Replies
699 Views
Dunia ya sasa ni kutegemeana kuanzia bei ya mafuta, mbolea, vitu kutoka china, magari, teknologia na vipuli. Hivyo tusishangae bei ya vitu Tanzania kuwa juu. Bank kuu pamoja na wizara ya fedha...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii! Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hatimaye kile kitendawili cha Mikutano ya hadhara sasa rasmi kimeteguliwa , hii ni baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Ratiba yake . Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Itifaki wa Chama...
30 Reactions
105 Replies
6K Views
📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli niliwashauri Chadema hapa hapa Jf kuwa watazame kama wanaweza kuitangaza Siku Moja kila mwaka kuwa ni Chadema Day Nikasema ziko Taasisi kubwa za Serikali na hata Vilabu vikubwa vya...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Back
Top Bottom