CHADEMA Kuzindua Mikutano yake ya hadhara Jijini Mwanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,610
Reaction score
287,317
FB_IMG_1672941151490.jpg

Hatimaye kile kitendawili cha Mikutano ya hadhara sasa rasmi kimeteguliwa , hii ni baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Ratiba yake .

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Itifaki wa Chama hicho John Mrema imedai kwamba , Jiji la Mwanza limeteuliwa kuwa la Kwanza kwa CHADEMA kufanya mkutano wake wa Hadhara , tangu yule Dikteta apige marufuku mikutano hiyo halali kwa kuogopa kupigwa spana , Mkutano huo unaotarajiwa kuvunja rekodi ya Kitaifa ya Mikutano ya hadhara tangu kuvumbuliwa kwa Tanzania utafanyika tarehe 21/01/2023 .

Sasa kazi imeanza rasmi , Kaeni tayari kwa hoja zinazohusu Kuporomoka kwa Uchumi , Ugumu wa Maisha uliowafikisha watanzania kula milo minne (4 ) tu kwa wiki .

Mungu ibariki CHADEMA
 
Nawaza tu hiyo aibu watakayopata kwa kupata wahudhuriaji wachache.

Martin Maranja Masese ameshavuka boda kwenda kuchukua "mzigo" wa Hela ambao Lissu kapewa na wazungu ila anaogopa kuupitisha katika njia rasmi ya taasisi za fedha?

Na siku hizi Lissu hasimami Kanairo Wala kukaa, rafiki yake Uhuru amepigwa za uso
 
Unalia nini ?
 
Mawazo ya kinyume chake ... Unaandika huku unatetema kama mayele

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wako wanashindia dagaa, unahangaika kutetea majitu ambayo yanapeleka hawara zao viti maalum, na ikija ruzuku huoni hata mia.
Mkeo kakuomba Hela ya sukari asubuhi, unamwambia unaenda kununua bando uje JF kutetea Chadema.
Mwenyekiti wenu amewatangazia na kuwapa angalizo, jibuni kwa hoja na facts nini mmekifanya sio matusi au kejeli, jibia yako inaonyesha kiwango chako cha ufahamu kipo vipi, familia ya mtoa hoja huijui na kuandika upuuzi kama huu wa kuwasemea inasikitisha sana,kama kweli wewe ni mpiganaji piga za kichwani sio za underbelt kama ulivyofanya kwenye hoja hii
 
Huyu ni Sukuma gang , ni miongoni mwa wanaompinga Hangaya , sasa kusikia Chadema wanaanzia Mwanza ameumia sana .
 
View attachment 2482053

Hatimaye kile kitendawili cha Mikutano ya hadhara sasa rasmi kimeteguliwa , hii ni baada ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Ratiba yake .

Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Itifaki wa Chama hicho John Mrema imedai kwamba , Jiji la Mwanza limeteuliwa kuwa la Kwanza kwa Chadema kufanya mkutano wake Hadhara , tangu yule Dikteta apige marufuku mikutano hiyo halali kwa kuogopa kupigwa spana , Mkutano huo unaotarajiwa kuvunja rekodi ya Kitaifa ya Mikutano ya hadhara tangu kuvumbuliwa kwa Tanzania utafanyika tarehe 21/01/2023 .

Sasa kazi imeanza rasmi , Kaeni tayari kwa hoja zinazohusu Kuporomoka kwa Uchumi , Ugumu wa Maisha uliowafikisha watanzania kula milo minne (4 ) tu kwa wiki .

Mungu ibariki Chadema
Karibuni ila muwe na tahadhali kwani Mwanza ya sasa sio ile ya zamani.
 
CHADEMA forever.
 
Back
Top Bottom