Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima kupanda na kusababibisha madhara hasi kwa bei ya walaji.
Hii ni hatua nzuri sasa wakulima wanafaidi jasho lao. Ambaye hayuko tayari kununua sembe kwa bei ya juu alime mahindi yake.
ASANTE CCM
 
ccm ijawai kukosa wajinga na wameongezeka
JF leo tokea mikutano kuanza ya chadema mnaonesha akili zenu zilipoishia ccm
 
Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima kupanda na kusababibisha madhara hasi kwa bei ya walaji.
Hii ni hatua nzuri sasa wakulima wanafaidi jasho lao. Ambaye hayuko tayari kununua sembe kwa bei ya juu alime mahindi yake.
ASANTE CCM
Ina mjali mkulima bwenyenye ccm,ila mlala hoi ccm na wengine wanasema wapambane na hali zao sio,🤔
 
Mbuzi nyingine hii ya kijani imeshiba asali mpaka inapaliwa imekuja kutapikia humu JF
 
Back
Top Bottom