Uchaguzi 2020 Maji ya shingo Kawe? Gwajima akutana na Maaskofu 71 wa Makanisa ya Kiroho kuomba uungwaji mkono

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
150
176
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewakutanisha maaskofu 71 wa makanisa ya “kiroho” jijini Dar es Salaam akiomba msaada wao ili ashinde ubunge.

Maaskofu hao walikutana Alhamisi iliyopita katika hoteli ya Picolo, iliyoko Kawe jijini Dar es Salaam.

Soma zaidi hapa > Maji ya shingo Kawe: Gwajima akutana na Maaskofu wa Makanisa ya Kiroho kuomba uungwaji mkono - Imevuja!
Anatafuta kura za hao maaskofu au anataka maaskofu hao wakawashawishi waumini wao wampigie kura?! Na hilo ni kosa!
 
.
FB_IMG_1600870322971.jpg
 
Kinachowaponza siku zote kawe CCM ni kusimamisha mgombea asiyekubalika na Wana kawe,,,,, rejea kwa Angela kizigha tulikuwa hatumjui kabisa kwa kipindi kile lkn CCM wao wakamsimamisha mdee akambwaga, watu walikuwa wa namjua kippi Warioba.... Lkn walipomsimamisha kippi muhula uliofuata upepo wake kisiasa ulishabadilika ni Sawa na Sasa umsimamishe lowassa agombee urais nadhani wengi hawatokuelewa ukikompare na muhula uliopita.... Ila yote kwa yote kama kawaita maaskofu basi ajue waislam Wana jambo Lao October.
 
Back
Top Bottom