Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,808
- 218,463
Chama Pekee cha siasa chenye uwezo wa kufanya mikutano ya hadhara nchini Tanzania (CHADEMA), leo 22/01/2023, huko Musoma Mjini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mkendo, kimetangaza hadharani kuzindua Operesheni mpya na kabambe, Inayoitwa Operesheni Katiba Mpya.
Huu ni mpango kabambe ambao CHADEMA watatembea nao kwenye mikutano ya hadhara nchi nzima, kwa lengo la kuwaelimisha wananchi umuhimu wa katiba, ili kuharakisha upatikanaji wake.
Sasa kazi imeanza rasmi.