Lissu amesema uongo, Dubai Zoo haina wanyama 50,000

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Leo katika hotuba yake Temeke jijini Dar es Salaam alisema "Uongo"!

Namnukuu; "Kuna Zoo kubwa ya wanyama imefunguliwa huko Uarabuni, serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya biashara ya kuuza wanyama huko Ngorongoro. Na wamesombwa kwa miongo kadhaa tangia utawala wa Rais Mwinyi. Ile Zoo ina idadi ya wanyama wapatao 50,000, sasa tutegemee watalii wote kuishia huko uarabuni!"

Sasa ukweli ni huu hapo chini, picha na vielelezo. Tuendelee kutunza kumbukumbu kwa manufaa ya baadae!

Alamsikhi.
10101.

Screenshot_20230125-212620_Google.jpg
Screenshot_20230125-212546_Chrome.jpg
 
Hoja sio numbers,hoja ni kuuza wanyama ,nilitegemea hii ndio iwe main topic

Ulichoandika ni sawa mtu aseme "amenibaka ila kwa mbinde sana"
Unapokuwa kiongozi ambae ni Public Figure,hupaswi kuwa muongo muongo!
Dk Slaa hakuwa muongo muongo,ndio maana alikuwa akiaminika!
Ukiamua kulisema jambo,vema uliseme kwa uhalisia wake.
Hatuwezi kumuamini kiongozi anayedanganya namba!
Halafu anawania kwenda Ikulu?
 
Leo katika hotuba yake Temeke/jijini Dar es Salaam. alisema "Uongo" namnukuu!

"Kuna Zoo kubwa ya wanyama imefunguliwa huko Uarabuni,serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya biashara ya kuuza wanyama huko Ngorongoro.
Na wamesombwa kwa miongo kadhaa,tangia utawala wa Rais Mwinyi....
Ile Zoo ina idadi ya wanyama wapatao 50,000...
Sasa tutegemee watalii wote kuishia huko uarabuni!"

Sasa ukweli ni huu hapo chini,picha na vielelezo
Tuendelee kutunza kumbukumbu kwa manufaa ya baadae!

Alamsikhi.
10101.
View attachment 2495670View attachment 2495671
Sasa kama Nchini inafanya biashara ya wanyama Kuna shida gani?
 
Inawezekana nae kaongea kwa lugha za kufumba tu....utasikia, 40 kwenye kitabu kile ina maanisha vile, 7, 3, 1 n.k

Ni kweli serikali inauza nyara zake? Inacho kibali?
 
Unachotetea ni ujinga 50, 000 is just a number ya wanyama wanaozaana

Cha msingi tunaibua
 
Inawezekana nae kaongea kwa lugha za kufumba tu....utasikia, 40 kwenye kitabu kile ina maanisha vile, 7, 3, 1 n.k

Ni kweli serikali inauza nyara zake? Inacho kibali?
Wanyama pekee wasioruhusiwa kuwindwa au kuuzwa na serikali, mpaka kwa kibali maalumu ni Tembo
Faru
Twiga...

Wengine wanawindwa katika utalii wa Uwindaji,kwenye vitalu maalumu vya uwindaji wa kibiashara.

Lakini sheria au kanuni haziko wazi kuhusu wanyama hai kuuzwa,tena nje ya nchi.
 
Unapokuwa kiongozi ambae ni Public Figure,hupaswi kuwa muongo muongo!
Dk Slaa hakuwa muongo muongo,ndio maana alikuwa akiaminika!
Ukiamua kulisema jambo,vema uliseme kwa uhalisia wake.
Hatuwezi kumuamini kiongozi anayedanganya namba!
Halafu anawania kwenda Ikulu?

Dr. Slaa wakati akiwa CDM mlikuwa mnamuita kiwanda cha uongo. Ila kwakuwa sasa haiumizi CCM mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Huyo Dr. Slaa si ndio akikamata lori huko Mbeya akasema lina kura, kisha ikasemekana lina vipodozi? Au mnadhani tumesahau?
 
Mbona mwenda zake alikuwa anatuhadaa mchana kweupe Mkuu na mlikuwa hamsemi?mlikuwa wapi kpndi hicho hakuna mtu asiesema uongo hata we wakati mwingine lazma useme uongo.kpndi baba zetu wanawateka mama zetu walikuwa wanasema uongo
 
Leo katika hotuba yake Temeke/jijini Dar es Salaam. alisema "Uongo" namnukuu!

"Kuna Zoo kubwa ya wanyama imefunguliwa huko Uarabuni,serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya biashara ya kuuza wanyama huko Ngorongoro.
Na wamesombwa kwa miongo kadhaa,tangia utawala wa Rais Mwinyi....
Ile Zoo ina idadi ya wanyama wapatao 50,000...
Sasa tutegemee watalii wote kuishia huko uarabuni!"

Sasa ukweli ni huu hapo chini,picha na vielelezo
Tuendelee kutunza kumbukumbu kwa manufaa ya baadae!

Alamsikhi.
10101.
View attachment 2495670View attachment 2495671
Ajakosea. Sema wewe ndo Hauna taarifa.ipo inaitwa Sharjala. Kama uewah ingia Serengeti maeneo ya Simba pale kwenye mawe na umasaini ukaona Boma zilivyojengwa na udongo. Ndo ivyo ivyo wao wamejenga ivyo ivyo. Unaweza seme uko Serengeti. Na mbuzi na uvaaji wa kimasai. Na Wana Wanyama wapatao 50,000 spicies tofaut tofaut.View attachment 2495690
Screenshot_20230125-215200_1.jpg
 
Hoja sio numbers,hoja ni kuuza wanyama ,nilitegemea hii ndio iwe main topic

Ulichoandika ni sawa mtu aseme "amenibaka ila kwa mbinde sana"
Hao Eti Mama Kawaamini Kujibu Hoja Mitandaoni
Ukweli Wanaukwepa
Bora JK Alisema Mnakipasua Chama Ninyi Wenyewe Ccm.....
 
Dr. Slaa wakati akiwa CDM mlikuwa mnamuita kiwanda cha uongo. Ila kwakuwa sasa haiumizi CCM mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Huyo Dr. Slaa si ndio akikamata lori huko Mbeya akasema lina kura, kisha ikasemekana lina vipodozi? Au mnadhani tumesahau?
Kwa uelewa wako mfinyu,unadhani kila mtu aliondoka Chadema bila wafuasi!

Moja ya watu walioondoka na wafuasi hapo Chadema ni Dk Wilbroad Slaa!

Huenda hata sasa mnapambana na hao kuliko hata CCM.
 
Mbona mwenda zake alikuwa anatuhadaa mchana kweupe Mkuu na mlikuwa hamsemi?mlikuwa wapi kpndi hicho hakuna mtu asiesema uongo hata we wakati mwingine lazma useme uongo.kpndi baba zetu wanawateka mama zetu walikuwa wanasema uongo
Hiki sio kipindi cha kusema uongo!
Kama unajinasibu kuwa mkweli,basi na uuishi ukweli wako!
Neno moja la uongo huharibu maneno elfu moja ya ukweli.
 
Unapokuwa kiongozi ambae ni Public Figure,hupaswi kuwa muongo muongo!
Dk Slaa hakuwa muongo muongo,ndio maana alikuwa akiaminika!
Ukiamua kulisema jambo,vema uliseme kwa uhalisia wake.
Hatuwezi kumuamini kiongozi anayedanganya namba!
Halafu anawania kwenda Ikulu?
Note
Slaa alipoondoka cdm ndio wakati ambao cdm ilipata uungwaji mkono mkubwa zaidi ilipata viti vingi zaidi

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Hao Eti Mama Kawaamini Kujibu Hoja Mitandaoni
Ukweli Wanaukwepa
Bora JK Alisema Mnakipasua Chama Ninyi Wenyewe Ccm.....
Kuna hoja ipi ambayo Chadema mmeitoa mpaka sasa,ambayo inahitaji majibu..
...nyinyi si mmekazana kumlaumu Magufuli na kisha mnasifia Samia halafu mnakimbilia Katibaaaa!
 
Back
Top Bottom