Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,724
- 34,688
Leo kulikuwa na Mapokezi ya Lissu, viongozi wengi wa CHADEMA nimewaona wakimpokea Lissu. Ila Mbowe hajaonekana kabisa. Hapo tatizo lipo wala tusifiche.
Huu mgawanyiko kwa upande mwingine sio mzuri kwa chama. Tunaweza kusema ni kawaida lakini lazima tujiulize kwanini hakwenda?
Kuna Jambo ningeweza kuwaeleza wanachadema ili wajue chama Chao kinapoelekea kutokana na huu mgawanyiko, Ila wacha niwaache MUDA utasema na nitakuja kuwakumbusha hapa.