Lissu amerudi, dereva wake kulikoni?

Lissu amerudi, dereva wake kulikoni?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,944
Yule Dereva alikimbia na Lissu ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye!

Siyo Lissu wala Chadema officials yoyote ambae huwa anagusia kuhusu yule Dereva wa Lissu siku ya tukio la kushambuliwa Lissu!

Kuna nini na huyu dereva wa Lissu? Iweje yeye anafichwa kuliko mhanga wa tukio lenyewe?

Kama Lissu amegakikishiwa usalama wake, iweje dereva aendelee kuwa mafichoni??

Sijawahi kumsikia Lissu akiongea au kumtaja dereva wake popote pale iwe interviews za nje ya nchi wala hotuba zake majukwaani! Na Chadema mnakuwaga wakali kweli akitajwa huyo Dereva.

Nauliza tu na tutaendelea kuhoji kila penye utata.


Alamsikhi.
10101.
 
Lissu na CHADEMA ndio wamekamata mitandao na vyombo vyote vya habari [emoji23]
Ni sawa sababu wazushi wakiachiwa bila kuambiwa huwa wanahalalisha Uongo wao!

Lazima tuwapige Spaner za ukweli!
 
Yule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye...
Naye atapewa ulinzi au ndiyo mnataka kumuuwa kabisa. Lissu kashasema wazi waliompiga risasi sasa ushahidi wa nini na gari lilianza kumfuatilia miezi na miezi kabla mpaka namba ya gari alitoa leo eti mnatuletea unafiki wa ushahidi. Tushukuru nchi waliompa ukimbizi. Huyu ni mwananchi wa kawaida
 
Yule Dereva,alikimbia na Lissu,ingawa alitakiwa kuja kuwa shahidi mzuri wa Lissu,kwa kusaidia kutoa maelezo.
Ya jinsi alivyoona na anachokumbuka yeye...
Dereva wa Lisu Alishaoa umechelewa kajaribu kwengine
 
Dereva wa Lisu Alishaoa umechelewa kajaribu kwengine
Hii sio hoja... zako, jibuni hoja, mengine ndio tunajua mbavyotukana.
Ila ukweli huwa unadumu muda mrefu.
Iko siku mtaaibika, kama hii ni inside Job yenu.
 
We need the truth to be prevailed all along the issues!

It's the Confession season -1
Tanzanians live in their own tiny world of sensationalism, they're not interested in your truths which have no ounce of traction.
 
Mbona yeye muhusika hua hazungumzii hiyo kesi kama ambao haiwahusu kabisa?
 
Kwahiyo mkuu, wewe unajua umuhimu wa huyo dereva na unatamani haki ipatikane kuliko mhanga wa tukio husika ambaye pia ni mwanasheria mkongwe?
 
Back
Top Bottom