Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge? 1...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu...
16 Reactions
170 Replies
10K Views
Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa. Mara nyinyi...
1 Reactions
1 Replies
470 Views
Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua. Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini...
6 Reactions
104 Replies
6K Views
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi. Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa...
15 Reactions
573 Replies
80K Views
Wakati Mkijitahidi kuchafua image Ya JPM, bila Vielelezo wala Ushahidi! Na bila Mafanikio! Luhaga Mpina yeye amekuja na Ushahidi na vielelezo, Awamu ya Sita inalea wizi! Kamponi hii, "CCE"...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanabodi, Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu. Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hakika matukio haya mawili yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 chini ya aliyejiita mzalendo na rais wa wanyonge itabidi yaingie kwenye historia ya wizi na uongo kupata kutokana hapa nchini...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM...
0 Reactions
6 Replies
695 Views
Ndugu zangu, Mwanzo sababu kubwa ya kutokomea ughaibuni ilikuwa "kumkimbia Magufuli" ambaye kwa sasa hayupo. Vijana wengi ndani ya Chadema wanatamani wangepata fursa ya kuishi ughaibuni kama...
14 Reactions
65 Replies
5K Views
Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu...
24 Reactions
108 Replies
20K Views
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka...
2 Reactions
5 Replies
534 Views
Ni mshtuko mkubwa kwa Taifa baada ya Rais mteule SSH kutoa taarifa juu ya fedha za operation plea bargain kutojulikana ziliwekwa kwenye akaunti gani. Urais ni taasisi,aliyeitumia sheria kuamuru...
0 Reactions
8 Replies
713 Views
Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Taasisi ya RITA Ni nyeti mno na ilistahili kuwa na wafanyakazi mahili na waadilifu. Miezi miwili nafuatilia cheti Cha kifo Cha mwanafamillia hadi leo sijakipata. Kabla yakuanza mchakato wa...
20 Reactions
70 Replies
6K Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema anarudi nyumbani akiwa amebeba Sumu ya kutosha kuwauwa CHAWA, Viroboto, Kunguni, Mende, Panya na Wadudu Wachafu wote Lema ameahidi kuleta...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mh Rais leo yalikuwa maazimisho ya miaka 46 ya CCM, lakini mkoa wa Geita naona una nguvu kubwa sana , binafsi kwa upande wa upizani sioni wa kusimama na chama cha mapinduzi mkoa wa Geita, sina...
1 Reactions
5 Replies
623 Views
Kama ni bahari basi kumechafuka. Tundu Lissu yuko ndani ya nyumba na Lema anapiga jaramba tayari kuingia kuchukua nafasi ya mtu. Upande wa pili hali si hali mwangwi ungali unaendelea kurindima...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makatibu wa Kanda wa CHADEMA Mjini DSM. Ikumbukwe kwamba Makatibu wa Kanda...
22 Reactions
50 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…