Kwa Katiba ya sasa ilivyo DPP, CAG na Paymaster General hawapaswi kuwa na vinasaba vya undugu na Rais wa JMT

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,966
141,974
Katiba ya sasa inatoa madaraka makubwa kwa Rais wa JMT na hili hata Mwalimu Nyerere alilisemea.

Hivyo siyo busara kwa watu wa vetting kufumbia macho undugunization katika maeneo nyeti kwa Afya ya Taifa letu.

Serikali ni tofauti na chama cha siasa.

Mungu wa mbinguni akubariki!
 
Haya ya Katiba na J.K Nyerere....Khaaa

Kwa hiyo kama siyo Nyerere kusema hayo kuna uwezekano tusingeona hayo? au kujua kuna kasoro!

Kuhusu mada....
Tumo kwenye zama za Utwaa.


J.KNyerere(Marehemu)Aliyakataa hayo, ila taswira hii mnayojenga, ni kana kwamba ndivyo alivyotaka. Ni maoni yangu.
 
Katiba ya sasa inatoa madaraka makubwa kwa Rais wa JMT na hili hata Mwalimu Nyerere alilisemea.

Hivyo siyo busara kwa watu wa vetting kufumbia macho undugunization katika maeneo nyeti kwa Afya ya Taifa letu.

Serikali ni tofauti na chama cha siasa.

Mungu wa mbinguni akubariki!
Mkuu Yohani Mbatizaji, johnthebaptist , maadam Mama ameipokea serikali kutoka kwa JPM, na enzi za JPM, haya mambo yalikuwepo lakini hamkuhoji, naomba na Mama akiyeendeleza, msihoji!.

Wenye haki ya kuhoji, wabaki ni wale tuu walio hoji tangu enzi za JPM!. https://www.jamiiforums.com/threads...bu-na-zile-boeing-ni-tt-then-hatufai.1246099/
P
 
Back
Top Bottom