Wana CHADEMA na upinzani kwa ujumla Magufuli alionesha uhalisia wenu, nyie ni wachumia tumbo

wazagamba nkoko

JF-Expert Member
Nov 23, 2021
392
998
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.

Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.

Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu
 
Ni tatizo la Afrika nzima. Nchi chache sana zina siasa za upinzani. Huwa wanashirikiana na vyama dola kutudhihaki tu.

Lingine ni kwamba, hakuna mwanasiasa yeyote aliye na uchungu na nchi bali na malengo yake binafsi tu. Niliapa kutopiga kura maisha yangu yote.
 
Hawa mkuu ni vipanga tu,wanafurahia kuingia Ikulu kunywa chai na kupozwa hakuna watu pale JPM alimaliza tukawaelewa kindakindaki
 
Ni mbumbumbu tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa amefanya ufisadi hadi kumhonga hawara yake hoteli ya bilioni 12 kuwa ni mzalendo hakuwa mchumia tumbo
Ni taahira tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa na makampuni ya ujenzi ya ujenzi na kuyapa tenda za ujenzi kuwa hakuwa mchumiatumbo
Ni ZEZETA pekee
 
Mama Samia amewaweza kweli! Mtakuja na kila aina thread, mwishoe MTAZOEA tu!
 
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.

Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.

Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu
Bro umri wako tafadhali!!!!Una miaka mingapi dunia ni???
 
Upinzani ni Ideology, wajinga nyie, sasa Tanzania.mnataka kuaminisha wajinga wenzenu kwamba Upinzania ni watu

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ni tatizo la Afrika nzima. Nchi chache sana zina siasa za upinzani. Huwa wanashirikiana na vyama dola kutudhihaki tu.

Lingine ni kwamba, hakuna mwanasiasa yeyote aliye na uchungu na nchi bali na malengo yake binafsi tu. Niliapa kutopiga kura maisha yangu yote.
Kwani upinzania ni viongozi? Hivi huwa mnaenda kusomea ufala? Upinzani ni Idelogy, na huwezi ua ideology kamwe, saaa mlivyo wapuuzi mnazani upinzanu ni wakina Mbowe,

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa mkuu ni vipanga tu,wanafurahia kuingia Ikulu kunywa chai na kupozwa hakuna watu pale JPM alimaliza tukawaelewa kindakindaki
Kwa Definition ya Familua yenu, Upinzani ni wakina Mbowe? Sasa kama wanaenda Kunywa Chai, whay wewe usiendeleze Ideology? Wao si wamenunuliwa na wewe hujanunuliwa? Endelea, acha ujinga

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbumbumbu tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa amefanya ufisadi hadi kumhonga hawara yake hoteli ya bilioni 12 kuwa ni mzalendo hakuwa mchumia tumbo
Ni taahira tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa na makampuni ya ujenzi ya ujenzi na kuyapa tenda za ujenzi kuwa hakuwa mchumiatumbo
Ni ZEZETA pekee
Aisee sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki.
Nimejua baada ya hii reply yako
 
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.

Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.

Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu
Pole unawelewa kiduchu... 'malemu' pombe aliiga sera za upinzani akashindwa kutekeleza sababu ya papara pupa! akapingwa vizuri lkn hakuelewa akatumia mabavu kufunga, kuteka, kukili nk.
Upinzani hautokaa kukosa hoja kwani serikali yoyote haitokaa kukosa mapungufu.
Upinzani husaidia kuainisha mapungufu hayo hivyo wapinzani ni muhimu sana.
 
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.

Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.

Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu
Kazi ya upinzani ni "serikali mbadala" yaani kuhakikisha serikali inawajibika na pia kuleta sera mbadala mfano kipindi Cha JPM ni wapinzani walisuggest wizara ya Nishati na madini itenganishwe, walishauri amendment za muswada wa Mapato ya mafuta na gesi, walisimamia viti kumi vya Rais vigawanywe kwa 50-50 based on jinsia, walileta bajeti mbadala bungeni, walipigania uwajibikaji mfano mikataba iletwe bungeni kupitia Sheria ya TEITI n.k Sasa utasemaje hawana tija kipindi Cha JPM?

2. Kama ulitaka wamuunge mkono JPM Sasa hapo kungekua na upinzani au CCM B? Unaotakiwa ufahamu ushindani wa kisiasa ndio unaleta uwajibikaji hata JPM alipitishwa kugombea sababu ya nguvu ya upinzani. Hata sokoni utapata bei nzuri kama wauzaji Wana ushindani so usitegemee hata siku Moja kutakua na uwajibikaji kama CCM na Chadema watakua kitu kimoja.

3. Unasema wataongea Nini kwenye mikutano? Ufisadi uliokithiri CCM, watachambua ripoti za CAG kwa wananchi, wataeleza sera mbadala kwa masuala kama ya kukopa na bima, watajadili suluhu za mgao, kupanda kwa gharama za maisha n.k agenda hazijawahi kukosekana maana waTanzania Bado ni masikini licha ya CCM kutawala miaka 60.

Najua mnaumia sana kuona Rais kakubali katiba mpya na mnaumia kuona upinzani unaheshimika Tena kinyume na matazamio yenu wafuasi wa JPM. Poleni mnoo ila zama zimebadilika
 
Ni mbumbumbu tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa amefanya ufisadi hadi kumhonga hawara yake hoteli ya bilioni 12 kuwa ni mzalendo hakuwa mchumia tumbo
Ni taahira tu ndiye atakayeamini jiwe aliyekuwa na makampuni ya ujenzi ya ujenzi na kuyapa tenda za ujenzi kuwa hakuwa mchumiatumbo
Ni ZEZETA pekee
Unaijua bilioni 12 au umevimbiwa maharage?
 
Nakumbuka wananchi waliwaamini sana,lakini hayati Magufuli alituthibitishia watanzania ya kwamba nchi yetu ina wapinzani maslahi na si wanasiasa wenye lengo la kuwasaidia wananchi.

Hayati alianza kwa kasi kubwa mkasema anaiga ilani yenu, tukasema kama ni hivyo basi sawa unganeni nae tuivushe nchi, mkashindwa, mwamba hakukata tamaa akasongesha tukaona utendaji bora kabisa na miradi mingi ikaibuliwa na kukimbizwa kwa kasi huku mafisadi wakishughukikiwa barabara, mkaanza kutetea wezi wa mali za umma, hilo hatujasahau. Mkaanza kushilikiana na mabeberu kumkwamisha.

Sasa sijui mikutano yenu ya hadhara mtakuja na lipi jipya zaidi ya kuiomba CCM iwaachie baadhi ya majimbo ili muweze kujikimu na na kufurahia mialiko ya Ikulu
Ndio maana alikuwa anawanunua Kwa kuwahonga ubunge
 
Back
Top Bottom