Walivuruga soko la mbaazi ikauzwa Tsh. 300 kwa kilo

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Hatuwezi kufika mwisho wa safari yetu kama tutasimama kila mahali kuwarushia mawe kila mbwa anayetubwekea.

Rais nimezisikia kelele zao, nimezisikia sauti zao pale kithalani wale waliolalamika bei ya mazao ipo chini Mkulima atafutiwe soko ndiyo hawa wanaopiga kelele bei ya mazao ipo juu.

Watu walewale waliotengeneza matatizo ndiyo wanaotaka kuwa sehemu ya kutatua hizi Changamoto. Hawa ndiyo wale walishindwa kutatua matatizo yetu ya ndani naomba niwakumbushe. Si kwamba waliishia kuvuruga masoko, Walikejeli kuwapiga hadi mashangazi zao.

Waliua soko la Korosho, Walivuruga soko la Mbaazi, Choroko, Ufuta na Dengu tuwakumbushe maana ni wepesi kusahau naomba niwakumbushe sisi Hatupangwingwi.

Leo niseme kwenye huu uwanja huru huyu mkulima umempatia mbolea ya Ruzuku, umempatia masoko na hata Vijana umewapatia mashamba pamoja na mitaji umetuita kwenye kilimo tumeitika Kwa kifupi Tumeshawishika kuingia shambani baada ya miaka mingi ya mateso.

Rais, mabaraza ya watu wenye heshima wanasema “History doesn’t repeat itself, but people do repeat themselves” Walipoua soko la Korosho na Wakulima wengi wakawa maskini na wengi wakashindwa kuendelea na zao la korosho uchumi wa korosho ukaporomoka watu wakachukia kilimo kilichukiwa kweli kweli.

Rais kwa jitihada zako leo umethubutu kutuvuta shambani tumerudi kwa nguvu na tumeshawishika umetoa mitaji na masoko let’s market determined by demand and supply.

Rais nakung’ata sikio kwa sauti ya juu tunafahamu nguvu ya soko kipindi kile purchasing power ilikuwa ndogo, Pesa hatukuwa nazo mifukoni wangeuza kwa gharama hizo wangemuuzia nani…? Huu ukweli hawausemi. Mazao yaliwahi kuota shambani na wakulima wakafa Maskini.

Tofauti ya miaka mitano iliyopita na miwili ya leo Wananchi wote ni mashahidi hata ripoti zinaonyesha wazi watu wamepata confidance kurejesha fedha benki, inafahamika wazi ili uonekane una Pesa ni kupitia kwenye Financial institution wale walikuwa na Task Force wakiona una kidogo tu wamekafungia kesho.

Hawa wanaopiga kelele walikuwa wamekaa seat za mbele kabisa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yalipovamiwa mchana kweupe na Jamhuri iliyopaswa kuwalinda. Daylight robbery.

Rafiki yangu mmoja ana msemo aupendao kutoka kitabu cha mithali, Moyo usiokuwa na shukrani hukausha Mema yote! Kauli yako hutaki wafanyabiashara wabugudhiwe kwenye suala la Kodi, Uliwataka maafisa wa kodi kuwatolerate na biashara hivi ndiyo leo tunaona Mabenki yanapata faida. Kipindi wakiwa seat za mbele mabenki yalifilisika na kuweka chini ya urasimu usiku na mchana.

Unatuwazia mbali sisi Wananchi wako kuanzia Mapinduzi ya Fikra kwa Vijana kubadili mitazamo na dhana zinazoturidisha nyuma tujikomboe kiuchumi, umetufungulia milango kwenye kila Sekta wewe ni Mama wa Fursa. Hili hawalipendi sababu hatukuwa na Uhuru to that extent tuliambiwa mbele ya media tujiangalie sana WATCH OUT.

Umefanya mengi zaidi umepunguza rate ya mikopo ya kilimo, Umetoa fund kwa mabenki ya kilimo wakulima tumepata confidance ya kuingia benki kuomba mikopo na kuwekeza shambani. Wao tulipolalamika njaa walisema wao sio Baba zetu.

Kilimo kinalipa sasa Sekta mojawapo na kiashiria kizuri uchumi wetu una afya tumeona kwenye mabenki ni wazi tuna mzunguko mzuri wa fedha, Commision rate na Trading income zimekua kwa kasi zaidi.

Nasemajeeee sisi chawa wako Tupo. Tutakusemea Daima.
 
Naona vijana wqliopewa mashamba wangelima cash crops zaidi na kuuza nje badala ya kulima mahindi
 
Hatuwezi kufika mwisho wa safari yetu kama tutasimama kila mahali kuwarushia mawe kila mbwa anayetubwekea.

Mhe Rais nimezisika kelele zao, nimezisikia sauti zao pale kithalani wale waliolalamika bei ya mazao ipo chini Mkulima atafutiwe soko ndiyo hawa wanaopiga kelele bei ya mazao ipo juu.

Watu walewale waliotengeneza matatizo ndiyo wanaotaka kuwa sehemu ya kutatua hizi Changamoto. Hawa ndiyo wale walishindwa kutatua matatizo yetu ya ndani naomba niwakumbushe. Si kwamba waliishia kuvuruga masoko, Walikejeli kuwapiga hadi mashangazi zao.

Waliua soko la Korosho, Walivuruga soko la Mbaazi, Choroko, Ufuta na Dengu tuwakumbushe maana ni wepesi kusahau naomba niwakumbushe sisi Hatupangwingwi.

Leo niseme kwenye huu uwanja huru huyu mkulima umempatia mbolea ya Ruzuku, umempatia masoko na hata Vijana umewapatia mashamba pamoja na mitaji umetuita kwenye kilimo tumeitika Kwa kifupi Tumeshawishika kuingia shambani baada ya miaka mingi ya mateso.

Mhe Rais, mabaraza ya watu wenye heshima wanasema “History doesn’t repeat itself, but people do repeat themselves” Walipoua soko la Korosho na Wakulima wengi wakawa maskini na wengi wakashindwa kuendelea na zao la korosho uchumi wa korosho ukaporomoka watu wakachukia kilimo kilichukiwa kweli kweli.

Mhe Rais kwa jitihada zako leo umethubutu kutuvuta shambani tumerudi kwa nguvu na tumeshawishika umetoa mitaji na masoko let’s market determined by demand and supply.

Mhe Rais nakung’ata sikio kwa sauti ya juu tunafahamu nguvu ya soko kipindi kile purchasing power ilikuwa ndogo, Pesa hatukuwa nazo mifukoni wangeuza kwa gharama hizo wangemuuzia nani? Huu ukweli hawausemi. Mazao yaliwahi kuota shambani na wakulima wakafa Maskini.

Tofauti ya miaka mitano iliyopita na miwili ya leo Wananchi wote ni mashahidi hata ripoti zinaonyesha wazi watu wamepata confidance kurejesha fedha benki, inafahamika wazi ili uonekane una Pesa ni kupitia kwenye Financial institution wale walikuwa na Task Force wakiona una kidogo tu wamekafungia kesho.

Hawa wanaopiga kelele walikuwa wamekaa seat za mbele kabisa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yalipovamiwa mchana kweupe na Jamhuri iliyopaswa kuwalinda. Daylight robbery.

Rafiki yangu mmoja ana msemo aupendao kutoka kitabu cha mithali, Moyo usiokuwa na shukrani hukausha Mema yote! Kauli yako hutaki wafanyabiashara wabugudhiwe kwenye suala la Kodi, Uliwataka maafisa wa kodi kuwatolerate na biashara hivi ndiyo leo tunaona Mabenki yanapata faida. Kipindi wakiwa seat za mbele mabenki yalifilisika na kuweka chini ya urasimu usiku na mchana.

Unatuwazia mbali sisi Wananchi wako kuanzia Mapinduzi ya Fikra kwa Vijana kubadili mitazamo na dhana zinazoturidisha nyuma tujikomboe kiuchumi, umetufungulia milango kwenye kila Sekta wewe ni Mama wa Fursa. Hili hawalipendi sababu hatukuwa na Uhuru to that extent tuliambiwa mbele ya media tujiangalie sana WATCH OUT.

Umefanya mengi zaidi umepunguza rate ya mikopo ya kilimo, Umetoa fund kwa mabenki ya kilimo wakulima tumepata confidance ya kuingia benki kuomba mikopo na kuwekeza shambani. Wao tulipolalamika njaa walisema wao sio Baba zetu.

Kilimo kinalipa sasa Sekta mojawapo na kiashiria kizuri uchumi wetu una afya tumeona kwenye mabenki ni wazi tuna mzunguko mzuri wa fedha, Commision rate na Trading income zimekua kwa kasi zaidi.

Nasemajeeee sisi chawa wako Tupo…! Tutakusemea Daima.
 
Wafanyabiashara na madalali wao wa hayo mazao walikua na janja janja sana,walikua wakwepa kodi wakubwa, walipobananishwa walipe kodi wakakimbia. Hakika walikomeshwa janja janja zao.
 
Wafanyabiashara na madalali wao wa hayo mazao walikua na janja janja sana,walikua wakwepa kodi wakubwa,walipobananishwa walipe kodi wakakimbia. Hakika walikomeshwa janja janja zao.
Huu ni uwongo wa kumtetea ngosha mwenzio, Sasa aliyefaidika nani kunde kutoka kuuzwa 2300 mpaka 300!? Nnchi, mkulima au dalali unayedai!!? Yule mwamba hakuwa sawa mahali
 
Wafanyabiashara na madalali wao wa hayo mazao walikua na janja janja sana,walikua wakwepa kodi wakubwa,walipobananishwa walipe kodi wakakimbia. Hakika walikomeshwa janja janja zao.

Hujui lolote kwenye hii Biashara, wewe kichwa unatumia kama Housing ya Meno.
 
Hizi siasa itafika 2025 wataanza kupitisha magreda ya kutuhadaa na akili ndio itawakaa sawa kuwa marehemu hayupo na sisi tuliopo ndio wa kuwajibika kujenga nchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom