Biswalo atafaa kuwa Jaji Mkuu, alionesha uwezo mkubwa wa kushawishi kumalizwa kesi nje ya Mahakama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,026
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
 
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka mh Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa Cheo na kuwa Jaji wa Mahakama kuu

Wakati Jaji mkuu Prof Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Ina Li Lai Rajuuuniiiii....
 
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Pia kuwe plea bargain kwa wezi wa kuku wakirudisha waachiwe, isiwe sheria ya wenye fedha tu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Rubbish!
 
Ila njaa mbaya san 🤣🤣🤣 ila mtajua hamjui!!
 
Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu.

Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.

Wakati Jaji Mkuu Prof. Juma akielekea kustaafu Biswalo ni miongoni mwa Vijana wanaoweza kuvaa viatu vyake

Mungu wa mbinguni akubariki!
Upumbavu ni Kipaji pia
 
Punguza unafiki
 
Kibaka awe jaji mkuu?
 
10AB7BD9-04B2-4217-B077-9EAAF6595130.jpeg
 
Back
Top Bottom