Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni...
1 Reactions
7 Replies
573 Views
Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema...
1 Reactions
0 Replies
892 Views
Kuna wakati haya mambo tuyaangalie kwa jicho la Tatu PhD za darasani ndio nyingi za Mchongo, jamaa wanaandikiwa tafiti na kila kitu PhD za heshima ni Chuo kinaamua kukutunuku kwa mapenzi yao...
2 Reactions
5 Replies
674 Views
Hakika SAKATA la Ofisi ya DPP juu ya PLEA BARGAINING limekuwa KAA la MOTO kwa Sasa kwani Mchakato wake Umegubikwa na WIZI MKUBWA wa Hizo FEDHA kwani Hata Mh.RAIS alisema kuwa kuna AKAUNTI...
0 Reactions
11 Replies
877 Views
Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini. Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina...
6 Reactions
19 Replies
985 Views
Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Makabidhiano ya ofisi Kati ya Shehe wa mkoa aliyetumbuliwa Alhad Salum na Kaimu Shehe wa mkoa Walid Omar yamefanyika Kwenye ofisi ya Kadhi mkuu Imeelezwa kuwa baadhi ya samani ( furniture)...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kumkashifu Askofu mkuu pale St Peters Oysterbay kwenye kanisa la Roman Catholic ndio ikawa mwisho Wengi hili hawalikumbuki, Lakini lile tukio la kumkashifu Askofu mkuu pale madhabahuni...
32 Reactions
172 Replies
10K Views
Je degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?
4 Reactions
5 Replies
524 Views
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana...
3 Reactions
49 Replies
3K Views
Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana. Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa namna suala Zima la Nchemba linavyozidi kwenda Deep na kwa namna Nchemba alivyotaka kuurubuni uongozi wa Bunge ili umwadhibu Mbunge aliyerejea kashfa yake kwa wabunge.Na kwa jinsi Spika...
1 Reactions
1 Replies
553 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imedhamiria kwa dhati kuiendeleza sekta ya Utalii na kuongeza thamani na...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana...
9 Reactions
80 Replies
5K Views
Kwa utafiti wangu mtandaoni na mtaani nimegundua kuna kundi hili linaiombea sana hii nchi ipate mkwamo ili wafurahie. Nitatoa mifano 5 1. kulipokuwa na ukame uliosababisha mgao wa umeme na mgao...
25 Reactions
69 Replies
4K Views
Pesa za umma zinapigwa Kila siku!! Bungeni Huko Mwigulu anajitahidi kuonyesha hakuna matumizi mabaya lakini hali inaonyesha pesa zinatafunwa karibu kwenye sekta na miradi yote!! Kwa hali ilivyo...
1 Reactions
9 Replies
804 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…