Kirus The killer
New Member
- Feb 8, 2023
- 3
- 5
Je degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?
Zinampa faraja mlipaji anayetamani kuipata lakini hana uwezo wa darasaniJe degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?View attachment 2511549
Hivi kweli Std VII leaver, anawezaje kupewa PhD, wakati wasomi "wanahenyea" Kwa nguvu kubwa usiku na mchana kupata hizo PhD!Je degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?View attachment 2511549
Eti kilaza Babu Tale naye ana PhD !!!Je degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?View attachment 2511549
Hazina faida yoyote ile kwa nchi, zaidi ya kuwa sifa ya mtu binafsi. Mchango wa mtu fulani katika jamii, na pia utambulike mbele ya taasisi fulani yenye hadhi na kuaminika, huwa ni kitu cha faraja kubwa kwa muhusika.Je degree zinazotolewa Kwa kulipia Ada dola 2500 zina faida kwa taifa?View attachment 2511549
Ukiwa na pesa hushindwi kituHivi kweli Std VII leaver, anawezaje kupewa PhD, wakati wasomi "wanahenyea" Kwa nguvu kubwa usiku na mchana kupata hizo PhD!