Sakata la Plea Bargaining wahusika wachunguzwe ili kujua ukweli

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Hakika SAKATA la Ofisi ya DPP juu ya PLEA BARGAINING limekuwa KAA la MOTO kwa Sasa kwani Mchakato wake Umegubikwa na WIZI MKUBWA wa Hizo FEDHA kwani Hata Mh.RAIS alisema kuwa kuna AKAUNTI imefunguliwa nje ya Nchi huko CHINA.

Kinachoshangaza ni UKIMYA wa SERIKALI juu ya kuanzisha UCHUNGUZI wa Kina kwa OFISI ya DPP na Wahusika wote wa huo MCHAKATO WAPO.

Cha kushangaza zaidi kwanini Zile FEDHA zilikuwa zinapokelewa Fedha Taslimu badala ya Kutumia Utaratibu wa CONTROL NUMBER ambao ndio UTARATIBU wa Kupokea FEDHA za SERIKALI?

Pili kama alivyosema MH.RAIS kwanini kuwe na AKAUNTI nje ya NCHI ni nani Aliifungua na ina JINA la NANI?
Tatu Waliotajwa Kuhusika na PLEA BARGAINING kwanini mpaka leo Hawajawajubishwa?

Kama Nchi hii ina UTAWALA wa Sheria na Uwajibikaji basi Wahusika WAWAJIBIKE wenyewe ili KUPISHA UCHUNGUZI.

millardayo_1675940374070370.jpg
kumbushodawson_1675231123517994.jpg
kumbushodawson_1675231123517421.jpg
yerickonyerere_1675180453587308.jpg
mbowejames_1675179916754913.jpg
 
Unanifanya nifikiri ,wakati hii inafanyika humu tulikua kimyaaaaa,hakuna aliyeuliza hizi plea zipo above board, huyu anayeuliza sasa ndio alikua second incharge naye alikua kimyaaa,sasa upepo umebadilika tunaanza kuwaona mashujaa wa key boards wakiuliza maswali magumu...
 
Wala usijidai haujui yule "simba wa yuda" alivyokuwa.Hakutaka ushauri wala miongozo.Usimwagie dhambi Samia.Asingeweza kufurukuta.Angeleta rabsha tu.
 
kwakweli kama kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa kwenye fedha hizi basi wahusika lazima wachukuliwe hatua kali za kisheria.
tunaamini hakuna aliye juu ya sheria.
 
Hakika SAKATA la Ofisi ya DPP juu ya PLEA BARGAINING limekuwa KAA la MOTO kwa Sasa kwani Mchakato wake Umegubikwa na WIZI MKUBWA wa Hizo FEDHA kwani Hata Mh.RAIS alisema kuwa kuna AKAUNTI imefunguliwa nje ya Nchi huko CHINA.

Kinachoshangaza ni UKIMYA wa SERIKALI juu ya kuanzisha UCHUNGUZI wa Kina kwa OFISI ya DPP na Wahusika wote wa huo MCHAKATO WAPO.

Cha kushangaza zaidi kwanini Zile FEDHA zilikuwa zinapokelewa Fedha Taslimu badala ya Kutumia Utaratibu wa CONTROL NUMBER ambao ndio UTARATIBU wa Kupokea FEDHA za SERIKALI?

Pili kama alivyosema MH.RAIS kwanini kuwe na AKAUNTI nje ya NCHI ni nani Aliifungua na ina JINA la NANI?
Tatu Waliotajwa Kuhusika na PLEA BARGAINING kwanini mpaka leo Hawajawajubishwa?

Kama Nchi hii ina UTAWALA wa Sheria na Uwajibikaji basi Wahusika WAWAJIBIKE wenyewe ili KUPISHA UCHUNGUZI.

View attachment 2511504View attachment 2511536View attachment 2511537View attachment 2511538View attachment 2511539
Magumashi alikuwa mpigaji sana hii haikutokea Kwa bahati mbaya yalikuwa maelekezo ya mmwovu mwenyewe
 
Ndo ubaya wa kiongozi dictator, hupenda kusifiwa sifiwa lkn hapendi kuambiwa ukweli... magufuri alizuia vyombo vya hbr kufanya hbr za kiuchunguzi ili kuficha uovu wa serikali yake.. kiukweli mnao mtetea cjui hata kama mnajielewa aisee... magufuri hakuwahi kuwa mzalendo ndo maana alipenda sana kuficha ficha mambo .. haya sasa uzalendo uko wp?? Kuficha hela nje ndo uzalendo huo????

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Baba Mungu nakushukuru kwa uliyoyaamua.Nchi hii tulichukiana sana kipindi kile "kabla ya uhuru"!Weye Baba ndiye Muweza.Ukamchukua kiumbe wako ili umpe madaraka makubwa zaidi.Baba nasema asante!
 
Simple tu ni Rais amgeukie makamu wake amueleze. Yeye mwenyewe alikuwepo serikalini
 
Back
Top Bottom