Ephraim Mafuru, ateuliwa Mtendaji Mkuu, AICC

Ephraim Mafuru, ateuliwa Mtendaji Mkuu, AICC

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,183
Reaction score
2,100
IMG_3171.jpg
 
Hii recycling ina maana

Hakuna watanzania wengine kabisa??

Ambao ni wazalendo na wamekwenda shule.

Watu wale wale wanazunguka tu nafasi tofauti tofauti over the years?

What is so special about them??
 
Hii recycling ina maana

Hakuna watanzania wengine kabisa??

Ambao ni wazalendo na wamekwenda shule.

Watu wale wale wanazunguka tu nafasi tofauti tofauti over the years?

What is so special about them??
Mbona wakati wa mwendazake mlifanya recycling ya wasukuma na hukulialia namna hii?
 
Mbona wakati wa mwendazake mlifanya recycling ya wasukuma na hukulialia namna hii?
hao jamaa akili zimeshachoka ,

Kwanini wasilete watu wengine wenye fikra mpya??
 
Hawa Jamaa wakishaingia kwenye mfumo wao ni kuhama vyeo tuu.

Hapo akistafu, utasikia ni mjumbe wa bodi ya Utalii
 
Acha basi mkuu mshahara huo ni hapahapa tz.?🤯

Jaman hatupo sawa kuna mtu anafanya kazi miaka 40 pension yake ndio anapata hiyo na pado kikokotoo inapita nayo..
Kilombero Sugar sio taasisi ya umma,kumbuka hilo.

Watu wanapata mpaka 60M package ya mwezi kwenye makampuni binafsi.
Somesheni watoto ndugu zangu. Somesheni elimu bora na si bora elimu.
 
Back
Top Bottom