Kuna wakati Prof Lipumba alipigwa Kwenye harakati za kisiasa anafungwa pop mikononi, kila alipokwenda alikuwa anautanguliza ule mkono Watu wauone na hakuna aliyemlaumu.
Kifungo cha mzee Mandela...
Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro.
Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la...
Ningependa kuwa karibisha wafuasi wote wa siasa za upinzani hapa nchini katika hili swali langu fupi kwa majibu yao.
SWALI:
Tatizo sugu la wapinzani wa hapa nchini je ni Magufuli na utawala wake...
Maharage Chande: Fantastic question Zitto, nianze kwenye kuwapa watu binafsi. Ni kweli kama ulivyosema, TANESCO na wizara ya nishati kwa miaka mingi iliyopita, utekelezaji wa miradi kwenda kwa...
..Mbowe na ujumbe wake wamefika mkoani Tanga kufanya shughuli za uenezi wa chama.
..Pamoja na mambo mengine Mbowe amezungumzia hali ngumu ya uchumi mkoani Tanga na nchi nzima na jinsi...
Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja.
Siku...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli ambao unaendelea kujidhihirisha mitaani kupitia maongezi ya watu, watanzania wanaendelea kumwamini Sana Rais Samia na serikali Yake, matumaini ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar.
Dk. Mwinyi amesema...
Mbunge Katani amesema kitendo cha Waziri Mwigulu kudharau Phd za heshima amesahau Rais Samia Suluhu Hassana amepewa udaktari wa heshima kwa mageuzi makubwa aliyofanya nchini, Mstaafu Jakaya...
At the beginning of this week, a strong 7.8 magnitude earthquake shook parts of southern Turkey and northern Syria.
For those who wish to help out the affected regions, here are some options for...
LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali.
Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa...
Kwa kinachoendelea nchini sasa hivi!
Kwa wizi na ufisadi uliotamalaki nchi hii!
Kwa wimbi la Unafiki linaloikumba nchi hii!
Kwa serikali iliyosinzia!
Kwa Cartel's wanavyoiendesha Serikali...
Macho yangu yalipata muda mdogo wa kutazama sehemu ndogo ya mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 kinachoruka kupitia kituo cha habari cha ITV ambapo mgeni wa siku hiyo alikuwa Mhe. Tundu Antiphas...
Je hii ni urithi wa rais yule aliyeamua kununua ndege nyingi kwa kampuni iliyofilisika tayari?
Halafu bila kumtafuta hata meneja mmoja aliyewahi kufaulu katika biashara hiyo?
Nani alimshauri rais...
LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali.
Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa...
The President of the United Republic of Tanzania H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia, presiding over the Cabinet meeting held at the Chamwino State House in Dodoma today, 8th February 2023.
Hii ndio Taarifa mpya kwa Leo kutoka huko Singida, ambapo tunaambiwa Makamu mwenyekiti wa Chadema , leo 8/2/2023 , amefika kwenye Hospital ya Makiungu na kuwaona wagonjwa na kuwafariji.
Nachukua...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 7, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 6
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini Miamala kufutwa au baadhi ya tarakimu...
*UKIELEWA MAZURI YA BIMA YA AFYA KWA WOTE, HUWEZI TENA KUPINGA MPANGO HUU WA SERIKALI.
Leo kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimeuchambua Mpango wa Serikali wa kuja na Bima ya Afya kwa wote ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.