Kama Mwalimu Julius Nyerere aliifananisha CCM na Kokoro, wewe ni nani unayeitetea?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
17,871
33,236
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.

Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
 
Kama mwalimu angekuwepo mpaka leo na akamsikia mtu anasema "time limit" kwenye uongozi ni anasa ,nawaza sijui angefanya nini?
 
Kwenye "Contex" ya hoja yake ni kweli "Time limit" kwa wakati ule ndani ya CHADEMA ilikuwa ni hanasa. Kama uchaguzi unafanyika na nafasi nyingine zinakosa watu, kwa nini kuwe na ukomo wa watu kuwa madarakani. Aliposema "walati ule" hukumsikia??
 
Mabadiliko ya Sheria, kanuni hayana budi kuendana na Mazingira ya wakati uliopo. Ili kubadali kipengele hiko kwenye katiba ya CHADEMA hayakuhitijika mabadiliko makubwa ya katiba ila mpaka leo kipengele hicho kimefinyangwa na kinatetewa kwa hoja zisizo na mashiko.

Ukomo wa madaraka ni muhimu sana kwa ustawi wa demokrasia.
 
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.

Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
 
Nyerere huyu huyu aliyeiona katiba yetu ni mbovu mno ,maana inaweza kutuletea dictator na akaa kimya, je Nyerere alikuwa ni ICON au just a State strong man?
 
Kama aliiona na kutuambia kwamba ni mbovu,basi alikuwa mwema.Changamoto ni ya kwetu kutoichukua na kufanya hatua zaidi.Yeye alimaliza kipande chake.Uoneshwe mtaro na utake kubebwa kuvushwa?Uzembe huo ustaadh!
 
President Samia so far so good,nimelisoma agizo lako kuwa birth certificates zitolewe pale pale mama alipojifungua kama na clinic au hospital, mama asiwe discharged mpaka awe na hati hii ya mtoto kuzaliwa,pia my President vunja huyu tubwana kubwa linaloitwa home affairs, weka police ministry na home affairs (uraia na immigrations),ajiri vijana wapya watunyoshee nchi wazee wapumzike pls.
 
Kama aliiona na kutuambia kwamba ni mbovu,basi alikuwa mwema.Changamoto ni ya kwetu kutoichukua na kufanya hatua zaidi.Yeye alimaliza kipande chake.Uoneshwe mtaro na utake kubebwa kuvushwa?Uzembe huo ustaadh!
...Na hii ndio tofauti ya ICON na State Strongman!,yeye ndiye aliyeisimamia na kuunda hii katiba mkuu!,yaani pata muda goggle na jisomee katiba ya Namibia, then jiulize sisi tulipotea wapi
 
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.

Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Kusanyiko la vilaza wa CCM waliopo mjengoni ndiyo uthibitisho wa kauli ya Baba wa Taifa.
 
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.

Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?
Wewe fikiria mtu kama Jilala yupo CCM. Siku zote yeye kazi yake ni kutetea uovu na waovu. Haiwezekani mtu mwema/msafi akawa anatetea uovu. Kwa vyovyote mtu kama Jilala atakuwa ni miongoni mwa watu wachafu kabisa waliopo CCM. Na huyu ni sample tu. Wapo wengi wa namna hiyo.
 
Ujinga ni kutokujua jamba jinsi linavyofanyika. CCM chama cha kijamaa kinakuwaje asilimia 70 ya vingozi wake ngazi ya taifa ni mabepari. Huoni hiyo ni tabia ya kokoro!!?
Chama kinachoweza kumpa lowasa kugombea urais unakitenganishaje na ukokoro?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom