Baadhi ya Samani zatoweka Ofisi ya Shehe wa DSM, Alhad Salum asema zimechukuliwa na Wenyewe Kamati ya Amani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Makabidhiano ya ofisi Kati ya Shehe wa mkoa aliyetumbuliwa Alhad Salum na Kaimu Shehe wa mkoa Walid Omar yamefanyika Kwenye ofisi ya Kadhi mkuu

Imeelezwa kuwa baadhi ya samani ( furniture) Kwenye ofisi ya Shehe wa mkoa wa DSM zimetoweka na alipoulizwa Shehe Alhad Salum alisema ofisi Hiyo inatumiwa na Taasisi nyingi ikiwemo Kamati ya Amani hivyo Wenyewe wamezichukua

Source: Mwananchi
 
Acha kuchafua viongozi wa Dini tafuta hoja uilete tutachangia. Ila sio ujinga kama hu. Unashusha hadhi yako.
 
Hahaaa hatari sana kama samani ni za kwake sio mbaya kama amezichukua.

Huyo anayekaimu alete za kwake ,hata makonda aliweka samani zake kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa DAR.
 
Makabidhiano ya ofisi Kati ya Shehe wa mkoa aliyetumbuliwa Alhad Salum na Kaimu Shehe wa mkoa Walid Omar yamefanyika Kwenye ofisi ya Kadhi mkuu

Imeelezwa kuwa baadhi ya samani ( furniture) Kwenye ofisi ya Shehe wa mkoa wa DSM zimetoweka na alipoulizwa Shehe Alhad Salum alisema ofisi Hiyo inatumiwa na Taasisi nyingi ikiwemo Kamati ya Amani hivyo Wenyewe wamezichukua

Source: Mwananchi
Kwa umbea Jo uko vizuri sana
 
Vitasa vipo ?
 
Ukute CCM ndio wamechukua
maana jamaa ni mtu wao

1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Kwa hiyo kamati ya amani ilikua ni kwa ajili yake tu akiwa na cheo?!!

Jamaa wa hovyo sana,aende akajiunge na CCM rasmi sasa wampe haya udiwani!!
 
Back
Top Bottom