technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,635
- 58,276
Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70
Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari.
Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026.
Ingawa file lake ni zito ni zito mno mno.
Who si Kikwete je Kikwete ni nani tunaomba historia yake kwa mtu anayemjua vizuri kabla hajaondoka madarakani.