nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa kumtukana rais wa kipindi hicho.
Kipindi chote Cha kushikiliwa kwangu, ilikuwa kama niko field nikijifunza jinsi watanzania wasiokuwa kwenye system wanavyoteswa na utawala ule.
Nimekumbuka mengi sana siku kama ya leo, ilitoka amri toka juu kuwa nihamishwe kutoka Kambi ya awali nipelekwe Kambi nyingine ambako wangeweza kunichunguza zaidi.
Nikawagalagaza vibaya isitoshe nikiwa huko kuchunguzwa nikawachunguza zaidi wao ni hivyo kuwashinda vibaya.
Mimi nikawa na taarifa zao kuliko wao walivyokuwa na taarifa zangu.
Leo nimekumbuka mambo mengi.
Nikiwa course zote I was a best student na wengi wa waliopo kazini kwenye vitengo ni failure kwenye courses za kijeshi za uraiani.
So najivunia kuwa nikiwa bado nachunguzwa rais akafa nikapata taarifa mapema sana. Tangu tarehe 9/03 /2021 nikaanza kula bia Kwa fujo ndani ya Kambi huko mess sajent muhudumu Kuna siku alinihudumia bia mpaka ahasubuhi saa 12. Kutokea mess nikaingia master pared. Baada ya master p nikarejea mess kula vitu.
Week Moja baadae ndio wakapata taarifa.
Sasa captain mmoja rafiki yangu ni mchungaji alikuwa ananijua kuwa mimi nimesingiziwa sababu ya watu kutaka vyeo vilivyokuwa vinagawiwa kama njugu kipindi hicho na aliyekuwa Chief. Maana ilikuwa inatokea mtu ndani ya mwaka anaweza panda vyeo mara mbili au tatu hasa kama anajua ratiba za ziara za mkuu kwenye kamandi au vikosi.
Basi nikaanza kupanga namna ya kuondoka na faida ndani ya kazi hiyo. Ikawa.
Na hivi ndivyo mungu alivyonifakisha kwenye kadhia hiyo.
1. Nimejifunza madhaifu ya serikali iliyopita, nikamdharau kiongozi aliyepita.
2. Nikaamua kufanya kazi nyingine ambayo nimeisomea na kupata shahada ya pili (umahili au masters).
So nimekumbuka mengi sana.
Nitaleta full story na matukio yote. Leo ngoja nifurahie uhuru wa CCM. Yes ni uhuru wa CCM, kama sio mwama CCM ujue hauko huru.
Ahsante sana.