Tarehe 1/3/2023 Chadema watajazana tena KIA kumpokea Godbless Lema naye hatujui kama atadumu. Siasa za Bongo pasua kichwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,146
Ni kama vile Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wanaitendea haki kauli ya mzee Membe ya kupishana angani

Hapa Arusha maandalizi ya mapokezi ya Mgombea ubunge wa Chadema Mh Godbless Lema yamepamba moto.

Nchi ngumu sana hii!
 
Ni kama vile Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wanaitendea haki kauli ya mzee Membe ya kupishana angani

Hapa Arusha maandalizi ya mapokezi ya Mgombea ubunge wa Chadema mh Godbless Lema yamepamba moto

Nchi ngumu sana hii!
Haaaaa haaaaa. Kuna Mzee wa kiki za miujiza, naona kashapoa ilembayaa.
 
Muandae mkeo akampokee na amliwaze naye asije akasepa, sisi tunahangaika kutafuta kunakouzwa dona bei nafuu wewe unashinda kona ya Ufipa ulete umbeya.
Hilo dona unalo hangaikia, umefikishwa hapo na Ccm wasio na maono. Mme uza akiba yote nje sasa mna lia njaa. Utawala ulio fitinika.
 
Back
Top Bottom