Sijui alifanya nini yule mwamba hapa Dar es salaam mji wenye matatizo kila sekta kila idara ila maji yalikuwa yanatoka kila siku mchana na usiku
Hata yangekatika ni muda mfupi yanarudi tena...
Habari za weekend,
Leo nimeingia mwenye tovuti ya wakala wa barabara nchini Tanroads nimeshtushwa na kukuta taarifa za miradi ya ujenzi zikiwemo barabara na madaraja ikionesha kuwa bado ujenzi...
Habari, kwa asili binadamu ni waovu, inahitajika nguvu kubwa sana kulizuia kundi hili, kundi hili ni kundi la watu wasiojali uhai wa wananchi na taifa, inahitajika nguvu kubwa na ushupavu wa...
..ni mahojiano na Dar24.
Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake.
Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya...
Ikumbukwe hakuna Kipindi kigumu Chadema wamewahi kupitia kama awamu ya Shujaa Magufuli
Wabunge wengi wa Chadema walihamia CCM
Viongozi wengi wa Chadema walifungwa jela
Makatibu Wakuu wa Chadema...
SOMA KWA MAKINI WEWE BARVICHA,
Kijana wa UVCCM jifunze kusema hapana mahali unapopaswa kusema hapana na kujifunza kusema ndiyo mahali unapopaswa kusema ndiyo Maamuzi sahihi ni maisha yako. Kamwe...
Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini?
Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na...
Ukiachana na mtaji , idadi ya wanajeshi, technology, uzalendo kwa ulimwengu wa kisasa lazima uwe na back up,Hii back ndio inamfanya Ukraine iendelee kupigana japo ilishiwa karibu kila kitu
CCM...
Hili lazima tuliangalie kwa jicho la tatu!jana akiwa pale Temeke alitoa tamko. Kwamba, atawaomba Watanzania na wanachama wa Chadema kuingia mtaani kuhakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri!
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Imenifikirisha sana, suala la serikali kuchagua baadhi ya wanafunzi kuwalipia ada ya mtihani na wengine kutowalipia na hali ya...
Watu Wengi wanadhani Freeman Mbowe alipewa Uenyekiti wa Chadema na mzee Mtei kwa sababu ya mahusiano yao binafsi, Hiyo siyo kweli
Mbowe alishaandaliwa kuwa Kiongozi kitambo sana na ndio sababu...
Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anazungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya...
Kumekuwepo na utaratibu au utamaduni wa kubeza mafanikio na kutokukubali kwa dhati kabisa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Serikali rais Jakaya Kikwetena chama chake cha CCM. kuna wachache...
Wadau Nawasabahi.Sasa ni Miaka 62 ya Uhuru Nchi haina tatizo lolote kama vile vita vya Congo au Sudani ya Kusini, Nchi haina ukamw kama Ethiopia au Kaskazini ya Kenya .
Tanzania imebarikiwa...
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Chama cha Siasa hakiuzi Nyanya Vitunguu wala Maandazi bali kinauza Mawazo na Mteja wake ni Nchi
Naye Katibu mkuu Addo Shaibu amesema Chama...
Na John Walter-Babati
Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza watu waliovamia eneo la Msitu wa asili wa kijiji cha Endaw hekari 192 katika kata ya Qameyu Halmashauri ya Wilaya ya Babati...
Wakati tunazungumzia suala la serikali kuzuia uuzwaji wa nafaka nje ya nchi hatukuleweka kwa wengi.
Leo tumeanza kuagiza mchele nje ya nchi kwa tani nyingi ambao hatuna uhakika kama mchele huo...
Mpina leo hii ndiyo ujifanye mwanaharakati wa kuikosoa serikali? Hivi ninyi wanasiasa acheni unafiki acheni kuwachezesha Shere waTanzania au kisa mnawaona waTanzania mburula?
Mpina kipindi ni...
Unaumiza kichwa kutoa ahadi zisizo na tija.
Toa ahadi ya Mil 5 kwa Mwl atayetoa matokeo mazuri.
Toa ahadi kwa afande atakaye dhibhiti ujambazi.
Toa ahadi kwa manesi .
Ona sasa
Waziri wa Kilimo Zanzibar mh Shaame Khamis amesema Ndizi za Veronica Mwanjala zilitaifishwa kwa sababu Zanzibar imezuia kuingiza ndizi kutoka bara kwa sababu ya magonjwa ya migomba yaliyoko bara...