Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Songoro Marine ndio kampuni pekeee (local) iliyokuwa inapewa tenda za kutengenza meli na vivuko kila mahali nchini Tanzania (sijui walikuwa wanatumia mbinu gani) Songoro Marine Mkazi wa Ilemela...
27 Reactions
85 Replies
10K Views
Maana kuna watu humu misongo ya mawazo inaelekea kuwaua! Hasira za kuukosa utamu wa posho za siasa kumewatoa kwenye Reli. Vyeti fake mlioko mitaani kwa wingi,inafikia mahali mko radhi kulala...
2 Reactions
20 Replies
914 Views
Wakuu Salaam; Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana. Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa...
4 Reactions
127 Replies
16K Views
Salute, vyama vya upinzani viwili vikubwa Tanzania,badara ya kueleza namna nzuri ambayo watatumia kuondoa kero za wananchi na kuwapunguzia mzigo wa maisha magumu, badara yake vimejikita...
2 Reactions
6 Replies
745 Views
Leo chama cha Sauti ya Umma(SAU ) kimezindua kauli mbiu mpya ya chama isemayo SALA NA KAZI kauli mbiu hiyo itakuwa moja ya sera za chama.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amemuomba Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongolo awe mgeni rasmi Kwenye mkutano wa hadhara siku atakayowasili Machi Mosi Lema ametoa ombi hilo...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Askari wa kikosi cha kulinda usalama wa nchi za Afrika wameweza kugundua hilo. Mashushu wa Irael walifanikiwa kuingia ktk kikao cha viongozi wa umoja wa Afrika kinacho endelea nchini Ethiopia...
13 Reactions
66 Replies
8K Views
Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT; ”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Ujio wa Samia Suluhu Hassan kuwa rais wa Tanzania, kiongozi mkuu wa ACT wazalendo ndugu Zitto Kabwe akautangazia umma kuwa tusimtegemee kuikosoa serikali ya Samia kama tulivyozoea kumuona...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtanikumbuka kwa Mema! Kesho Jiji la Mwanza litazizima wakati Meli kubwa MV Mwanza " Chombo ya Magufuli" itakaposhushwa Majini Tukio hilo litashuhudiwa na mamilioni ya Wapenda maendeleo...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Nchi mbalimbali, bila hata ya kujitangaza, lakini zinafahamika kwa mambo fulani ya pekee. Mambo hayo yanayozitofautisha nchi hizo na mataifa mengine, yanakuwa sababu ya mataifa hayo mengine...
2 Reactions
5 Replies
708 Views
Duh === "Nchi hii imejaa watu wajinga sana, Rais anapata shida kwani wanaomshauri wengi hawana uelewa wa kutosha wa mambo" Dkt. Godwin Mollel, mbunge wa jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya
26 Reactions
158 Replies
13K Views
Nimuombe tu Mungu wa mbinguni aingilie Kati aturehemu na kutusamehe pale tulipokengeuka Kuna wakati inakuwa vigumu sana kuitofautisha Siasa na Dini hapo nchini kwa sababu wanatumia formula moja...
1 Reactions
9 Replies
711 Views
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni suala la muda tu, tunawaambia humu kila siku! Kwamba nchi hii, falsafa za Magufuli zilikuja kwa muda muafaka! Na style yake ya kutatua migogoro ya kijamii ilikuwa sahihi! Miaka miwili baada ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
“Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu...
10 Reactions
63 Replies
8K Views
Inawezekana kwa miaka mingi swali lililokuwa kichwani kwa Rais Samia ni namna gani ataweza kukifanya kilimo kiwe cool (kiwe na mvuto). Kilimo kilipewa sura ya matatizo kwa Vijana kufanya kilimo...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wakuu, Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata! Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa , kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana...
3 Reactions
15 Replies
955 Views
Ni ushauri wangu wa Mwisho kukupa hutaki unaacha! Mmekopa kushusha bei ya mafuta Ili bidhaa zishuke lakini wapi! Mmemnanga marehemu Sana lakini wapi, Mmetoa ahadi za uongo Napo pia wapi!!bila...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…