Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UTANGULIZI: Nimiaka zaidi ya arobaini (40) sasa tangu kugunduliwa kwa uwepo wa gesi Asilia huko Likong'o-Mchinga Lindi Pembezoni mwa bahari ya Hindi yenye futi za ujazo trilioni 57.7, Gesi hii...
35 Reactions
283 Replies
20K Views
Serikali madarakani ni ya CCM. Yapo mengi ya kushangaza: Ni Latra? LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza Ni hospitali? Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimewaona nimekubali Mmetisha sana Siasa siyo Uadui Nakumbuka mlimpa Tundu Lisu zawadi ya Jogoo wakati wa kampeni 2020 Kwaresma njema!
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya...
3 Reactions
5 Replies
910 Views
Uchambuzi wa Utekelezaji wa Ilani ya CCM Zanzibar. Kutoka Kisiwandui. Ndg. Khamis Mbeto Khamis. Kesho 23 Februari, 2023
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Viongozi wa Chadema wako safarini kuelekea Mkoani Rukwa , ambako kesho tarehe 23/02/2023 wanazindua rasmi Mikutano ya hadhara Kanda kabambe ya Nyasa , Mjini...
32 Reactions
91 Replies
6K Views
Nimeona tangazo kuwa wananchi maskini wanatakiwa kutoa elfu sita ili wakampokee lema nikashtuka imekuwaje chama chama kupambana na ufisadi kinakuwa na michezo ya hovyo hovyo hivi USSR
6 Reactions
26 Replies
2K Views
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mganga-wa-kienyeji-wenzake-wanne-wakamatwa-madai-mauaji-wa-mwalimu-musoma-4133972
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Wana Sumbawanga wamefurahia ujio wa uongozi mkuu wa cdm na kuwafanya baadhi ya wananchi wa mkoa huo kububujikwa na machozi ya furaha. Wamewacha kazi zao...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Tafadhali naomba kuuliza mimi ni mkazi wa mkoa wa Mwanza wilaya ya Ilemela kata ya Ibungilo nilikuwa miongoni mwa watu waliovumilia jua Kali nikipanga musululu mrefu ili kupata huduma ya NIDA...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe...
55 Reactions
5K Replies
596K Views
Ukiangalia tangu Samia aingie madarakani ajira zimefunguka kila pahala. Sector binafsi imekuwa more strong kiasi Cha kua absorb unemployed youths in street. JPM alirundika graduates miaka mitano...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu , Natanguliza Salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja . Mjini Sumbawanga leo kunafanyika Uzinduzi wa Mikutano ya Hadhara kwenye Kanda kabambe ya Nyasa , ambapo Vigogo...
9 Reactions
84 Replies
6K Views
Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani. So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini...
14 Reactions
118 Replies
7K Views
Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi...
12 Reactions
138 Replies
23K Views
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia elimu, David Silinde amewataka Makatibu Tawala, Wakuu wa Idara katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa...
0 Reactions
7 Replies
667 Views
Moja kati ya jambo lililofanikiwa kwa kiwango kikubwa katika uongozi wa awamu ya sita ni kuimarisha Diplomasia ya nchi yetu na kurejesha nafasi ya Tanzania katika mawanda ya diplomasia Duniani...
1 Reactions
3 Replies
695 Views
Salamu, Nimejiuliza sana lakini sijapata majibu. Ni nini kikwazo kinachoifanya serikali yetu ishindwe kuboresha kilimo kwa kutumia maji ya maziwa tuliyonayo kama Ziwa Tanganyika, Victoria, Rukwa...
20 Reactions
75 Replies
6K Views
Back
Top Bottom