Freeman Mbowe anaogopa kwao Hai?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.

Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake, ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo, lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Ili kututhibitishia madai ya kuibiwa Kura,na syo maamuzi ya wananchi walioamua kumuweka pembenini,kama anavyoamini na kutuaminisha watanzania.

Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.

Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko..

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?

Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda.
Screenshot_20230222-071258_Facebook.jpg

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.
Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake,ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo,lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Amvako kama ni hivyo anavyoamini na kutuaminisha watanzania.Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.
Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko.....

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?
Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda....View attachment 2527566

Kufuatilia chama kingine kuliko hata chama chako yahitaji kipaji
 
Wewe ni mbumbumbu wa siasa za kiuharakati. Hujui lolote, na pengine ungetamani uone anguko la Cdm. Jambo ambalo hutalishuhudia. Alitamani xmwenyekiti wako na hakulishuhudia. Na pengine pia ulitamani kuona wananchi wakiwa ignore. Jambo ambalo nalo ni kinyume chake.
Hujajibu swali la msingi bali umeendeleza Poyoyo mingi.
Huku ukijaa Povu!

Acha povu lete hoja au jibu swali.
Nilomuuliza huyu mwamba hapo chini mkuu!
View attachment 2527632
 
Ukiandaa maandamano ya wapumbavu utakuwa unaongoza, uchawa umeharibu uwezo wako wa kufikiria
Hili sio jibu bali umeleta vijembe!
Leta jibu lenye tija umjibie mwenyekiti wako swali!
 
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.
Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake,ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo,lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.
Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Amvako kama ni hivyo anavyoamini na kutuaminisha watanzania.Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.
Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko.....

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?
Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda....View attachment 2527566

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
Kwa vile umemkosa kumshutumu kwa ukabila, anachofanya Majaliwa kila siku Ruangwa inatosha.
 
Silly question deserve a silly answer, so is silly comments, kwa nini nitumie akili kujibu upumbavu?
Ila umetumia "akili" isipokuwa ni akili yenye "Hasira"....
Akili ya binadamu kwa Kiingereza "mind" ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana,...sasa wewe Mindset yako iko Ufipa....

Mnakoamini mnajua zaidi ya wengine woote!

Nilimuuliza huyu mwamba hapo chini.View attachment 2527622
 
Rais Samia Suluhu Hassan,
aliporuhusu vyama vya siasa kufanya mikutano yao ya hadhara nchini,kwa uhuru na bila kubughudhiwa.

Chama cha kwanza kuzindua mikutano yake nchini,kilikuwa ni CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Freeman Aikaeli Mbowe.

Walianzia na Mwanza,Musoma,Tarime Dar es salaam na baadae Ikungi.

Na ninapoandika kwa sasa,wanaendelea huko kusini mwa nchi.

Ninachouliza mimi ni kuhusu Chadema kutokwenda kwenye kiini chake, ambako ni Wilaya ya 'Hai" jimbo la uchaguzi ambalo, lilikuwa ngome ya Mwenyekiti Mbowe kwa miongo kadhaa.

Kabla ya wananchi kuamua kumchagua Mbunge kutoka CCM.
Ndugu Saasisha Mafuwe.
Kwenye Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.

Na hivyo kumbwaga Mwenyekiti wa Chadema Ndugu Freeman Aikaeli Mbowe.

Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa muda mrefu.

Kawaida ya Chadema,huwa wanaanzia zile sehemu ambazo Huwa wanaamini ni Ngome zao.

Ilikuwa hivyo kwa Dk Slaa na Karatu.
Ilikuwa hivyo kwa Heche na Tarime.
Ilikuwa hivyo kwa Msigwa na Iringa mjini.
Ilikuwa hivyo kwa Lissu na Ikungi.
Ilikuwa hivyo kwa Lema na Arusha mjini.
Na pia ilikuwa hivyo kwa Wenje na Nyamagana, Mwanza mjini.

Hata Mbowe alipotoka Magereza,alianza na Hai.huku akitoa na milioni mia moja kama sadaka kanisani kwao.

Sasa mikutano imeruhusiwa rasmi,mambo yamekuwa tofauti.
Mwenyekiti Mbowe amekuwa anazungukia kwenye Majimbo ya wenzake,huku yeye akiwa anakwepa kwenda kwake Hai na kuanzisha au kuzindua shughuli za kisiasa kwenye ngome yake ya muda mrefu,kule ambako anadai aliibiwa kura na CCM.

Ili kututhibitishia madai ya kuibiwa Kura,na syo maamuzi ya wananchi walioamua kumuweka pembenini,kama anavyoamini na kutuaminisha watanzania.

Tulitarajia akianzia huko,ili tuone Mapokeo ya wananchi wake wapendwa.

Tuone kweli wali mmiss mbunge na mtoto wao mpendwa.ili kweli tuamini kama hawakumkataa bali anavyodai yeye ndio sahihi.

Badala yake tumemuona Tarime kwa Heche!
Ikungi kwa Lissu.
Dar es Salaam kwa kina Meya Mstaafu Jackob nk.

Sasa hivi yuko kusini huko..

Je!
Tukisema Mbowe amegundua kwamba jimboni kwake hakubaliki tena!

Tutakuwa tumemkosea?

Au anaogopa hasira za wananchi wanaoujua mchezo ule mchafu unaoendelea dhidi ya shujaa wao anayeteswa Gerezani?

Wenye weredi na hili mje huku?
Wenye matusi na bhange mbakie kusini kwa muda.
View attachment 2527566

Kwenye siasa hakuna Rafiki au Adui wa kudumu.
Usiwapangie watu cha kufanya nyie Sukuma Gang endeleeni tu kuishambulia Chadema huku mkienyonyolewa mdogo mdogo na Msoga Gang huko CCM.
 
Ur a naysayers and a failure, bila kutuma mada za CHADEMA naona unawashwa, Mr.Mbowe ana haki ya kuhutubia au kutembelea popote ndani ya nchi yetu kama mimi na wewe, na why hadi leo bado una tabia chafu za kikabila au ukanda?,ccm mnijibu nini mtaifanyia nchi hii tofauti na mnavyoifanyia sasa?
 
Ila umetumia "akili" isipokuwa ni akili yenye "Hasira"....
Akili ya binadamu kwa Kiingereza "mind" ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana,...sasa wewe Mindset yako iko Ufipa....

Mnakoamini mnajua zaidi ya wengine woote!

Nilimuuliza huyu mwamba hapo chini.View attachment 2527622
Wewe mpumbavu nimekwambia narudia, a silly question deserve a silly answer, so is a silly comments. Kwa nini nitumie akili kujibu upumbavu?

Sijatumia akili kwa upumbavu wako
 
Back
Top Bottom