Zitto Kabwe: Wenzagu 19 waliuawa na Serikali ya Hayati Magufuli

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Mwanzilishi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameliambia gazeti la Nipashe online kuwa wenzake 19 waliuawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuawa huku akikamatwa mara 16 katika utawala wa Hayati Magufuli.

Zitto nadaia wao ndio walimwomba Rais Samia ishu ya maridhiano kwakuwa ndio chama kilichopata tabu zaidi kipindi cha Hayati Magufuli kuliko kingine bila kutaja majina ya watu waliouawa ,wapi walizikwa na eneo walililouawa na taasisi gani ilihusika kuwaua .

My take kumbe CHADEMA wamepora maridhiano na kuyafanya yao wakati wao walipigwa risasi tu huku ACT Wazalendo waliuawa kabisa

USSR
Screenshot_20230223-181414.jpg
 
Mwanzilishi wa chama cha Act wazalendo zitto kabwe ilimbia gazeti la nipashe online kuwa wenzake 19 waliuwawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuwawa huku akikamatwa mara 16 katika utawala wa Magufuli.

Zitto nadaia wao ndio walimwomba Samia ishu ya maridhiano kwakuwa ndio chama kilichopata tabu zaidi kipindi cha Magufuli kuliko kingine bila kutaja majina ya watu waliouwawa ,wapi walizikwa na eneo walililouwawa na taasisi gani ilihusika kuwauwa .

My take kumbe CHADEMA wamepora maridhiano na kuyafanya yao wakati wao walipigwa risasi tu huku Act wazalendo waliuwawa kabisa

USSR View attachment 2527612
Zito ni mwanasiasa wa hovyo sana. Mfano utokee uchaguzi wa raisi afu ACT Wazalendo wamsimamishe Zito na chama kingine kiwe CCM au chama chochote kimsimamishe bata.

Mimi nitachagua bata. Zito kwa sasa anashindwa kujenga hoja hata na wanasiasa wabovu kama kina Lipumba, waubwabwa, Cheyo nk.

Ningekuwa karibu yake ningemchapa hata makofi mkigoma huyo.
 
Yaani kuna watu wanakaa na kupoteza mda kwa kuwasikiliza hawa watu

Kama mauwaji yalifanyika wote tunajua hayo na wengine waliokotwa kwenye viroba
Yaani kwa sasa hakuna kuongelea vijana wafanye nini?
Je maisha haya wameamua kuongelea yaliyowasibu huku wakimlaumu Marehemu

Nchi ina wachawi hii
Hivi walikuwa hawana Balls kusema alipokuwa mzima kwa kuogopa kuuwawa?

Wakalie kwa ndugu zao
Sisi tunataka maendeleo na kusonga mbele sio kusikiliza ya kwao tu
 
Mwanzilishi wa chama cha Act wazalendo zitto kabwe ilimbia gazeti la nipashe online kuwa wenzake 19 waliuwawa kati ya mwaka 2015 hadi 2021 na yeye alinusurika kuuwawa huku akikamatwa mara 16 katika utawala wa Magufuli.

Zitto nadaia wao ndio walimwomba Samia ishu ya maridhiano kwakuwa ndio chama kilichopata tabu zaidi kipindi cha Magufuli kuliko kingine bila kutaja majina ya watu waliouwawa ,wapi walizikwa na eneo walililouwawa na taasisi gani ilihusika kuwauwa .

My take kumbe CHADEMA wamepora maridhiano na kuyafanya yao wakati wao walipigwa risasi tu huku Act wazalendo waliuwawa kabisa

USSR View attachment 2527612
Siasa za bongo hizi 🤣🤣🤣
 
Huyu mkoma naye amezidisha uongo yeye ni mtu maarufu hizo mara 16 alizokamatwa mbona hatujazisikia? Ndiyo maana Wapemba wameshamgutukia wanamlia timing tu wamuachia chama lake la kitapeli
 
Back
Top Bottom