Uko wapi ushahidi wa tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio?

Makamba anajenga upya njia za umeme, Mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya ACT Wazalendo, Chongolo anaijenga upya CCM, Samia anaijenga upya serikali na ikulu, hata wale ambao bado walikuwa na Magufuli wameondolewa ili waje wangine wajenge upya!

Kila anayeulizwa amefanya nini tangu ateuliwe anasema alikuta hali mbaya sana kuanzia Rais Samia, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na taasisi, uongo mkubwa sana huu.

Wabongo wanapenda umbea na Majungu jambo alisikia analibeba moja kwa moja kwenye mitandao ila ukimuuliza swali utaishia kutukanwa tu maana hakuna analojua, muulize ushahidi juu ya tuhuma za Magufuli abakia alisikia, aliambiwa, watu wanasemaga, kuna story hiyo, kuna mwana alimwambia, alisoma facebook na instagram, kuna mshua alimtonya, kuna demu wa town alimsikia, kuna wana wanasema, kuna ubuyu alilishwa, kiufupi hana anachojua zaidi ya Majungu tu.

Walikuwa chini ya Magufuli wapi kama waliagizwa waseme, wakamatwe wapelekwe mahakamani maana wapo mpo nao serikalini mnashi nao, tuache yule mzee apumzike kwa amani.

USSR
 
Umeandika vizuri sana kila habari imejaa majungu tu hamna la ukweli na wasambazaji wakubwa wa hizi habari za kumchafua ni mahasimu wake aliowashika vibaya enzi za utawala wake.

Hakika JPM atakumbukwa kwa kazi nzuri aliyoifanya iliyotukuka hata samia mwenyewe alikuwa anamuhara.
 
FnzAtagX0AIXEAW.jpeg

FpKL8ABWcAANyqU.jpeg
 
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio?

Makamba anajenga upya njia za umeme,mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya ACT Wazalendo, Chongolo anaijenga upya CCM, Samia anaijenga upya serkali na ikulu, hata wale ambao bado walikuwa na Magufuli wameondolewa ili waje wangine wajenge upya!

Kila anayeulizwa amefanya nini tangu ateuliwe anasema alikuta hali mbaya sana kuanzia Rais Samia, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na taasisi, uongo mkubwa sana huu.

Wabongo wanapenda umbea na Majungu jambo alisikia analibeba moja kwa moja kwenye mitandao ila ukimuuliza swali utaishia kutukanwa tu maana hakuna analojua, muulize ushahidi juu ya tuhuma za Magufuli abakia alisikia, aliambiwa, watu wanasemaga, kuna story hiyo, kuna mwana alimwambia, alisoma facebook na instagram, kuna mshua alimtonya, kuna demu wa town alimsikia, kuna wana wanasema, kuna ubuyu alilishwa, kiufupi hana anachojua zaidi ya Majungu tu.

Walikuwa chini ya Magufuli wapi kama waliagizwa waseme, wakamatwe wapelekwe mahakamani maana wapo mpo nao serikalini mnashi nao, tuache yule mzee apumzike kwa amani.

USSR
FB_IMG_1665831491154.jpg
 
Mbona hata Samia ni msaidizi wake.
Ndio na anawajua wote wanaohusika, kwa mfano mzee Kikwete alipoamua kupambana na rushwa hakuhangaika na mkala alikula sahani moja na mawaziri maana kwa katiba hii hata Magufuli angekuwa hai wasingemfanya kitu zingekuwa kelele tu

USSR
 
Unamwita rais wa nchi mzushi wakati wewe hata nafasi ya mwenyekiti wa mtaa huna. Lofa kweli
Alitakiwa aje atumbie amekamata kiasi kikubwa cha fedha sio kuja kulialia mbele ya wananchi

USSR
 
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio...
-Prof Assad ana ushahidi wa 1.5 Trillion.
-Bi SASHA kastukia chimbo la Jiwe lililoko China la pesa za plea bargain.

Wizi wa Jiwe haujawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru.
 
Ndio nimekwambia eti flani kasema mara mama kusema mara shosti kaniambia mara kuna washkaji walisema.hakuna la maana rais alipaswa kusema tumekamata kiasi hiki China na aliyezipeeka ni flani yuko ndani kumbuka Magufuli hakuwa signatory wa haya ma pesa

USSR
 
Wapelekeni mahakamani wasaidizi wake bado wapo

USSR

Pagumu kweli

Ondoa ndondoo haraka.

Unganisha nukta Dom, Dar

washauri?

Wakiwa na butwaa chomoa viainishi. Ndondoo
Garagaza flyover
Kubali hili na hili na lile na lile....sema ahhh
Umoja, funga midomo, chokonoa chomoa, sema hili na lile, tonesha, chomoa funga domo,sepa, rudi, chagiza, rudia....
Haki, tusameheane, tuendelee...Buyu tosha.

Hata sijui nimekunywa nini kwenye Chai yangu leo
 
Kitendo Cha kununua wanasiasa wa upinzani kwa kodi za wananchi, Kisha kuitisha uchaguzi ambao tayari mshindi amepangwa, ilikuwa ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wa Richmond na EPA.
 
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio?

Makamba anajenga upya njia za umeme,mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya ACT Wazalendo, Chongolo anaijenga upya CCM, Samia anaijenga upya serkali na ikulu, hata wale ambao bado walikuwa na Magufuli wameondolewa ili waje wangine wajenge upya!

Kila anayeulizwa amefanya nini tangu ateuliwe anasema alikuta hali mbaya sana kuanzia Rais Samia, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na taasisi, uongo mkubwa sana huu.

Wabongo wanapenda umbea na Majungu jambo alisikia analibeba moja kwa moja kwenye mitandao ila ukimuuliza swali utaishia kutukanwa tu maana hakuna analojua, muulize ushahidi juu ya tuhuma za Magufuli abakia alisikia, aliambiwa, watu wanasemaga, kuna story hiyo, kuna mwana alimwambia, alisoma facebook na instagram, kuna mshua alimtonya, kuna demu wa town alimsikia, kuna wana wanasema, kuna ubuyu alilishwa, kiufupi hana anachojua zaidi ya Majungu tu.

Walikuwa chini ya Magufuli wapi kama waliagizwa waseme, wakamatwe wapelekwe mahakamani maana wapo mpo nao serikalini mnashi nao, tuache yule mzee apumzike kwa amani.

USSR
Hawana ushahidi, ila wanatekeleza sera za;
1. Vyama vya upinzani vjsivyo na hoja. Unategemea baada ya Magufuli kuonyesha kwa vitendo kuwa siasa ni kutumikia walio wengi kwa kuleta maendeleo na kutatua kero, na ikafanya wananchi wamchague kwa kishindo kwenye uchaguzi wa awamu ya pili upinzani watakuwa na hoja gani? Ndiyo maana hawaeleweki wanapinga nini na wanataka nini? Hawana pa kusimamia. Iliyobaki ni kuendelea kupiga propaganda za kumchafua Magu aliyefariki muda mrefu! Kila wakiona filosofi yake, legacy yake, style yake ya uongozi, matunda ya awamu yake yanazidi kupendwa, kukumbukwa na kuimarika, wanakosa hoja na kuanza kuibua kashfa za kulazimisha. Wakijifungia ndani na kupima kama bado anapendwa, wanaamka na kudndelea kutunga na kujaza vi threads JF vya kumchafua!
2. Wanaharakati na wenye hasira zisizoisha kama Dr Assad, hata wakikurupushwa usingizini watapiga kelele “Magufuli huyoo”, ni wafungwa wa chuki zao, unafiki wao wenyewe. Wacha waendelee kuteseka!
 
Kitendo Cha kununua wanasiasa wa upinzani kwa kodi za wananchi, Kisha kuitisha uchaguzi ambao tayari mshindi amepangwa, ilikuwa ni ufisadi mkubwa kuliko ufisadi wa Richmond na EPA.
Kama mnamkubali Samia Suluhu Hassan ni rais basi mjikite kusema Magufuli alishinda uchaguzi

USSR
 
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio?

Makamba anajenga upya njia za umeme, Mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya ACT Wazalendo, Chongolo anaijenga upya CCM, Samia anaijenga upya serikali na ikulu, hata wale ambao bado walikuwa na Magufuli wameondolewa ili waje wangine wajenge upya!

Kila anayeulizwa amefanya nini tangu ateuliwe anasema alikuta hali mbaya sana kuanzia Rais Samia, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na taasisi, uongo mkubwa sana huu.

Wabongo wanapenda umbea na Majungu jambo alisikia analibeba moja kwa moja kwenye mitandao ila ukimuuliza swali utaishia kutukanwa tu maana hakuna analojua, muulize ushahidi juu ya tuhuma za Magufuli abakia alisikia, aliambiwa, watu wanasemaga, kuna story hiyo, kuna mwana alimwambia, alisoma facebook na instagram, kuna mshua alimtonya, kuna demu wa town alimsikia, kuna wana wanasema, kuna ubuyu alilishwa, kiufupi hana anachojua zaidi ya Majungu tu.

Walikuwa chini ya Magufuli wapi kama waliagizwa waseme, wakamatwe wapelekwe mahakamani maana wapo mpo nao serikalini mnashi nao, tuache yule mzee apumzike kwa amani.

USSR
Uko mwingi tuu baadhi yake ni huu hapa 👇
Screenshot_20221119-094007.png
Screenshot_20221119-093841.png
 
Ndio nimekwambia eti flani kasema mara mama kusema mara shosti kaniambia mara kuna washkaji walisema.hakuna la maana rais alipaswa kusema tumekamata kiasi hiki China na aliyezipeeka ni flani yuko ndani kumbuka Magufuli hakuwa signatory wa haya ma pesa

USSR
Hivi ni ujinga au ni kulinda legacy?magufuli kutokuwa signatory ndio barrier kwamba hangeweza kuwa mwizi? Simply, hata nyumbani kwako chakula unachokula lazima we ndio uwe mpishi? Unapopinga hakuwa mwizi, we unaweza kuthibitisha hakuiba? Unapoambiwa viongozi wa Afrika wanaiba pesa kwao na kuficha ughaibuni, kwani huwa wanafanya personally?
Tunachotakiwa kufanya sio kupingwa hizi taarifa, bali kuunganisha nguvu kuzichunguza, hatimaye tuweze kurejesha fedha zilizoibwa na yeyote na kufichwa popote pale nchini au nje.
 
Tulipofika kila kiongozi anajitetea kwa wananchi kuwa anaijenga upya taasisi aliyopewa (upuuzi mkubwa huu) kila mmoja ukimuuliza atakwambia maika saba ya Magufuli hakukuwa na lolote lililofanyika, mnatuona wajinga sio?

Makamba anajenga upya njia za umeme, Mchechu anajenga upya NHC, Zitto upya ACT Wazalendo, Chongolo anaijenga upya CCM, Samia anaijenga upya serikali na ikulu, hata wale ambao bado walikuwa na Magufuli wameondolewa ili waje wangine wajenge upya!

Kila anayeulizwa amefanya nini tangu ateuliwe anasema alikuta hali mbaya sana kuanzia Rais Samia, mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na taasisi, uongo mkubwa sana huu.

Wabongo wanapenda umbea na Majungu jambo alisikia analibeba moja kwa moja kwenye mitandao ila ukimuuliza swali utaishia kutukanwa tu maana hakuna analojua, muulize ushahidi juu ya tuhuma za Magufuli abakia alisikia, aliambiwa, watu wanasemaga, kuna story hiyo, kuna mwana alimwambia, alisoma facebook na instagram, kuna mshua alimtonya, kuna demu wa town alimsikia, kuna wana wanasema, kuna ubuyu alilishwa, kiufupi hana anachojua zaidi ya Majungu tu.

Walikuwa chini ya Magufuli wapi kama waliagizwa waseme, wakamatwe wapelekwe mahakamani maana wapo mpo nao serikalini mnashi nao, tuache yule mzee apumzike kwa amani.

USSR
Mimi binafsi Mshenzi yule alinishusha daraja kwa kisingizio cha uhakiki wa vyeti.
Nilisota miaka karibia mi5 napokea mshahara kiduchu.
Tukisema hivi je twamsingizia Mbwa wenu huyo!?
acheni kucheza na maisha ya watu nyie. Kama nyie mlinufaishwa na ufedhuli wake mjue tupo tulioumizwa mno na kamwe hatutomsahau mshenzi yule na hamna namna ya kutunyamazisha eti kisa tu mnapigania legacy uchwara
 
Back
Top Bottom