Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake.
Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi.
Cha...
Habari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaka huu Wakulima huko...
Mzee amezungumzia kuhusu makodi Makubwa yanayowatesa Watanzania.
Uongo wa kikosi kazi cha Samia kubwa kimejaa wazee sana kama yeye hawana jipya walikuwa kwenye mfumo uliowatesa watanzania hivyo...
Takriban Miaka 3 iliyopita Rais aliyekuwa madarakani (hayati JPM) alitembelea gereza la Butimba, Mwanza kwa ajili ya kukagua maendeleo katika gereza hilo. Naam alijitokeza kijana mmoja ambaye...
Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani...
1. Riziwani hawezi kuja kupigwa chini, huyu kwanza anatafutiwa wizara kamili kwenye hizo mpya, Riziwani ni fadhila zinalipwa, na anaandaliwa kuja kuwa kama Huseni Mwinyi kwa kifupi huyu ni Mpakwa...
Mwaka 2021 Mhe. Rais Samia Suluhu alisimikwa kuwa Chifu mkuu na Umoja wa Watemi wa Kisukuma kwa kushirikiana na Umoja wa Machifu Tanzania, katika tamasha la Utamaduni wa Mtanzania na kumpa jina la...
Na Mwl Udadis, Dodoma
Wakati watanzania tunaendelea kufurahia spidi ya Rais Samia katika kutekeleza miradi, kuboresha huduma za jamii, kukuza diplomasia, kuibua fursa za kiuchumi na kuvutia...
Kwako Mhe.Rais wa JMT,
Nakusalimu kwa jina la JMT...kazi iendelee.
Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia afya njema na tumeweza kufika muda na wakati...
Awamu hii ya mama tunaona juhudi kubwa kuvutia uwekezaji kutoka nchi tajiri za Mashariki ya Kati. Wakati tunahangaika kuvutia Waarabu kuwekeza inafaa kuelewa desturi yao wakiwekeza kwako.
Wao kwa...
Inaudhi sana, Rais anateua wateule wake halafu wakianza kutekeleza majukumu yao wanakuwa hawana maelewano mazuri kazini kwao kwa kuendekeza migongano.
Wanaleta mambo ya kama uke wenza kazini...
Madereva Bajaj wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wameandama hadi kwenye ofisi za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA aitwaye Cedrick Malila almaarufu IKUWO WAKIDAI MALIPO YAO...
Jana nimeshuhudia Jinsi Wananchi kwa mamia walivyokuwa wanatoa kero mbalimbali kwa kama wa CCM Komredi Chongolo nikabaki najiuliza Hivi Singida Wana Wabunge kweli?
Ni kama ilivyokuwa Tarime...
Tangu aapishwe Machi 19, 2021 Rais Samia Suluhu amekuwa akifanya jitihada za kuanzisha na kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa lengo la kukuza uchumi.
Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa...
Huwa najiuliza sana Kwanini Yakobo (Israel) alitafuta kwa bidii kuzipata baraka za baba yake mzee Isaka.
Nikagundua Kuwa Kabla ya hapo Esau alishauza nafasi yake ya uzaliwa wa kwanza kwa Yakobo...
Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity.
Wiki iliyopita...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB).
Mpendwa Rais, Dkt. Samia...
Kudos Wadau..
RAIS Samia amesema anakusudia kuunda Wizara nyingine mpya ambazo zitakuwa chini ya Ofisi ya Rais akizitaja kuwa ni ile itakayo husika na Msajili wa Hazina, Tume ya Mipango na...
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano...