Hivi Wabunge Wana Kazi gani? Tarime Wananchi wamempa matatizo yao Heche wa Chadema, Singida wamempa Chongolo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Jana nimeshuhudia Jinsi Wananchi kwa mamia walivyokuwa wanatoa kero mbalimbali kwa kama wa CCM Komredi Chongolo nikabaki najiuliza Hivi Singida Wana Wabunge kweli?

Ni kama ilivyokuwa Tarime maelfu ya Wanavijiji kumuorodheshea kero zao John Heche wa Chadema kana mwamba bado ni Mbunge wao

Nchi ngumu sana hii!
 
Yaani unamaanisha wale waliopitishwa na NEC 2020 bila kupingwa na wengine Kwa Kura za kujazilizwa ndo wawakilishi wa Wananchi?
 
Jana nimeshuhudia Jinsi Wananchi kwa mamia walivyokuwa wanatoa kero mbalimbali kwa kama wa CCM Komredi Chongolo nikabaki najiuliza Hivi Singida Wana Wabunge kweli?

Ni kama ilivyokuwa Tarime maelfu ya Wanavijiji kumuorodheshea kero zao John Heche wa Chadema kana mwamba bado ni Mbunge wao

Nchi ngumu sana hii!
Tz ya viwanda.
 
CCM wanakuambia hata wakiweka jiwe litashinda.
Haya ndiyo matokeo ya kuhujumu uchumi. Watu wasiokuwa na sifa wanapita, wanaenda kuishi Dar au mikoa mingine. Wanakuja kipindi cha uchaguzi
Mfumo wa vyama vingi mzuri sana, unahamasisha kiongozi afanye kazi ili kipindi cha uchaguzi awe na jambo la kuwaambia wananchi.
Hapo mbunge anajisikiaje? Najua huko aliko lazima kichwa kipate moto atatue matatizo la sivyo ataondoka
 
Jana nimeshuhudia Jinsi Wananchi kwa mamia walivyokuwa wanatoa kero mbalimbali kwa kama wa CCM Komredi Chongolo nikabaki najiuliza Hivi Singida Wana Wabunge kweli?

Ni kama ilivyokuwa Tarime maelfu ya Wanavijiji kumuorodheshea kero zao John Heche wa Chadema kana mwamba bado ni Mbunge wao

Nchi ngumu sana hii!
Ccm ni kama haipo. Mbowe alisema kuna giza nene
 
Back
Top Bottom