Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake.
Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi.
Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa Rushwa na ufisadi wa mali za umma.
Kwamba kwa mfano tume ya Uchaguzi iliyopita ilikuwa ikiongozwa na Dr Wilson Mahera kama Mkurugenzi na Jaji Charles Mwijage kama mwenyekiti wa Tume na madudu waliosimamia chaguzi zote za 2019 na 2020.
Kwamba viongozi wa taasisi mbali mbali na ufisadi kwa mujibu wa CAG na report zake zote za Prof Assad na Charle Kichere hoja ya Udini, ukanda na ukabila haina maana yoyote kwangu.
Ikiwa Kuna wazalendo wa Kweli wenye kujali Maslahi ya Taifa na sio Chama na familia zao basi hata ikibidi woote akateua wa Dini moja au wa Kabila Moja au wa Kanda moja ni sawa tu.
Nawatakia kazi njema wapenda amani woote Tanzania.
Katiba Mpya itaondoa mizozano kati ya Makatibu na Mawaziri.