Mbunge wa Iringa mjini ajiandae kukabidhi jimbo kwa wenyewe(CHADEMA)

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga.

Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga.

Baada ya angalau mbinyo wa kisiasa kupunguzwa na mikutano ya kisiasa kuruhusiwa sasa ni wazi cdm itafanya miujiza kwenye majimbo mengi sana.

Leo hii tumetoa salaam kwa mama yetu hapa Iringa kuwa wenye jimbo letu tumerudi tena kwa hasira sana.
 
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga.

Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga...
Mnajitekenya wenyewe afu mwacheka

CHadema hakuna kitu pale
 
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga.

Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga.

Baada ya angalau mbinyo wa kisiasa kupunguzwa na mikutano ya kisiasa kuruhusiwa sasa ni wazi cdm itafanya miujiza kwenye majimbo mengi sana.

Leo hii tumetoa salaam kwa mama yetu hapa Iringa kuwa wenye jimbo letu tumerudi tena kwa hasira sana.View attachment 2532859
Chadema wameshavuka level ya kujaza mafuriko. Sasa ni kutafuta ushindi tu
 
Kila masika na mbu wake huo ni msemo wa wahenga.

Kwa sasa wale wote waliopatiwa ubunge kama zawadi ya upendo kutoka kwa wenye mamlaka waanze kuaga.

Baada ya angalau mbinyo wa kisiasa kupunguzwa na mikutano ya kisiasa kuruhusiwa sasa ni wazi cdm itafanya miujiza kwenye majimbo mengi sana.

Leo hii tumetoa salaam kwa mama yetu hapa Iringa kuwa wenye jimbo letu tumerudi tena kwa hasira sana.View attachment 2532859
Maji hayapimwi hivyo
 
Walamba asali hawa hawana maana tena...
Nchi ishauzwa hakuna kitu wanaongea.
 
Walamba asali hawa hawana maana tena...
Nchi ishauzwa hakuna kitu wanaongea.
lumumba wanalambisha watu asali lakin 2025 ushindi wa mtelemko mtausikia tu maana mlizoea kamuulizen yule mama yenu aliyekondeana kule mbeya anavyomuogopa Sugu na bado mpaka akonde kama mgonjwa wa ukimwi aliyekataa doze.
 
Back
Top Bottom